

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Big up naona twiga karudi, yaani huyo twiga huwa anapendeza sana anapotua sehemu.I hope mambo yatakuwa mazuri sasa na sisi tuweze kujidai kiana
ReplyDeleteLondoner
hiyo airport ni wapi, i wish tanzania tunge-upgrade uwanja wetu uwe angalau kama huo.
ReplyDeletejamani hata nyasi zinazoota kwa asili pale kwetu utadhani kichaka.anyway, makongoro mahanga anawachimba mkwara wafayakazi waache umbea, kwa maana kwamba anataka ufisadi usifichuliwe?
Hey Michuzi, Kwani wewe Week end huwa inaanza lini kwako? "Lililotua wkend hii!!!!!!!"
ReplyDeletekwa nini imekodishwa na haijanunuliwa???
ReplyDeleteWanalipa dola ngapi au euro ngapi kila mwaka kwa kukodi hiyo ndege. natumaini Michuzi maswali hayo umeyauliza
eee MUNGU SIMAMA KATIKATI YA UFISADI NA ATC YASIJE YAKAJIRUDIA YA HOTELI YA ATC KWA KULIPWA KONTRAKTA HEWA, YA GEORGE HALLACK NA NDEGE ISIYOKUWA NA MABAWA NA YA NDOA YA SAA NA ATC.
ReplyDeleteamina
Mdau uliyetaka kujua kiasi kinacholipwa kwa kukodi hiyo ndege ni dola 370,000 (zaidi ya milioni 380Tsh) kwa mwezi. nimesoma kwenye gazeti
ReplyDeleteMichuzi nahisi una kale kaugonjwa ka wikiendi...
ReplyDeleteSasa hautapita muda utasikia ununuzi/ukodishwaji wa hii ndege una mkono wa RUSHWA!
tena wizara yenyewe chenge aka mzee wa vijisenti ndio alikuwa waziri wake, yangu macho na masikio!
Pongezi Mataka na team yako kwa kurudisha heshima angani...
Mbona ndogo kama Boeing 737-300!
ReplyDeleteSi bora wangechukua hiyohiyo mi-boeing tu waliyoizoea kuliko kuchukua hizi aina mpya halafu waje WATUBWAGE bure!
Mweeh!
ETHIOPIA NJAA KALI LAKINI WAMETUPIGA BAO KWENYE HAYA MASWALA YA ANGA. SIJUI KIZAZI GANI KITATUKOMBOA. BABUU SAMBEKE TUANZISHIE KAVETA CHETU CHAKUSERVICE NDENGE NDOGO HAPA MOSHI.
ReplyDeleteTUMAINI GEOFREY
Tumaini Geofrey nakubaliana na wewe tena sana!
ReplyDeleteNa siyo Ethiopia tu!Nchi nyingine inayotupiga bao sana katika masuala yaanga ni Angola wana ndege nzuri sana tena nyingi tuu!wakati wamekuwa vitani miaka kibao lakini bado wamekaa sawa kwa mambo kama haya.Hata watani wetu wa jadi wanatupiga bao na Kenya Airways.
Anyway ATC wamejitahidi ingawa ingekuwa bora kununua zetu maana vitu vya kukodi havina profit nzuri .Kinachosikitisha ni kushangilia ukodishaji wa ndege bila kuuliza kuwa inalipiwa kiasi gani maana unaweza kuta ingekuwa cheaper kuinunua on installments.
Anyway serikali na system choka mbaya hatuna cha kujivunia apart from great people ukiacha mafisadi.
mdau sweden
Air Tanzania kama mna masikio na mnajua kusoma someni hizo comments juu you will find something in common.Wanablog wengi inaonekana wanasafiri sana na ndege za nchi zingine na roho inawauma sana kuona wenzetu wanachukua dola zetuza nauli badalaa ya kurudi ATCL(Nchini kwetu),wanapenda kuona na wao siku moja wanasafiri na nembo yao ya twiga kwenda huko nje ya nchi.Kazi kwenu ATCL,ni kweli mafisadi wameichezea sana ATCL ingekuwa mbali.Michuzi ATC waba roho ya paka I tell you.
ReplyDeletewabongo tuone uzushi kwa hii sasa hivi wamejitahidi ingawa bado tuko nyuma
ReplyDeletehuwezi kulinganisha ethiopian au kenya airways na air tz, wanacheza ligi mbili tofauti kabisa
aliyekodi hii hongera angalau kidogo tongotongo za macho zimewatoka sio kama vile vipanya vya propeller walivyonunua precision air
Michu,nimejaribu kuikuza picha na kuisoma vizuri.Hizo 'Godowns'kwenye background zimeandikwa FORTALEZA ambao ni mji uko Brazil(not sure).Nadhani ilikuwa inatake off kutoka airport ya Fortaleza.Wallice trading company?inawezekana walikuwa wameitunza huko.Hiyo picha uliipataje?Michuzi una mtandao mkali wee mbaba wee
ReplyDelete