FC Kilimanjaro (pichani) wamerejea uwanjani kwa kishindo siku ya Mei Mosi kwa pambano la kirafiki na watani wao wa jadi Uganda. Matokeo FC Kilimanjaro wameshinda kwa mabao 4 - 1.

Ujumbe na ushauri wa bure kwa FC Bongo wa Finland; mwenzio akinyolewa nawe jitie maji kabisa. August.


Khalifa ZAM

Nordkapsgatan 15,

1tr164 36 Kista

SWEDEN

Tel.nr. +46 8 6320116

Mobil. + 46 737234412

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2008

    Kilimanjaro tunakuja kuwanyoweni kwa mapanga huko Stockholm, Tunaanza tizi rasmi jumamosi kwa ajili yenu mwezi wa August. Salamu wote huko.



    Ezza Helsinki.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2008

    Mdau Khalifa wa sweden..Ntafurahi kama utaweza kunipatia email address ya kijana Kessy Karama. Nasikia yuko huko na yupo kwenye team yenu ya FC Kilimanjaro. Ni hayo tu
    Shukrani
    Kachichi

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2008

    Naam Kachichi tembelea webbsite yetu www.kilimanjaroclub.com utapata anuani za barua pepe,hata hivyo hii ya mshikaji wako ni: karamabr@hotmail.com

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2008

    Nd.Kachichi unaweza kutembelea webbsite yetu utapata anuani za vijana uwatakao,lakini kwa hii ya mshikaji wako ni: karamabr@hotmail.com

    Khalifa Zam

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...