Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Siku moja itafika na tutapata serikali ambayo inatakuwafanyia kazi wananchi.
ReplyDeletekp hicho si chanzo cha maji !
ReplyDeleteHilo ni bomba
Anon wa 07:45PM...
ReplyDeletenadhani Kipanya anazungumzia mvua. Angalia dimbwi hilo...
Yaani mijitu mingine bwana kazi yao kutafuta kasoro na kukosoa watu. yaani huyo jamaa aliyetoa maoni wa pili kutoka juu anaonekana anaubongo mzito unaogoma kufikiria na unakazi moja tu!! kukosoa
ReplyDeleteInasikitisha kuona Tanzania ni nchi pekee africa iliyozungukwa na Maziwa makubwa,pia kuwa na mito mingi mikubwa, rufiji, ruvuma ruaha,nk.ila wananchi wake wana matatizo ya maji...je lini tutatumia vyanzo hivi vya maji vilivyotuzunguka...jamani??
ReplyDeleteKuna kipindi nilikiona kwenye tv ya Norway kwamba wanorwegian walikuwa wanatafuta mafuta Rufiji Delta badala ya kupata mafuta waligundua kwamba kulikuwa na kiasi kikubwa sana cha maji ya chem chem (fresh water) ambayo yanaweza kukamilisha mahitaji ya Tanzania hata na nchi za nje.
ReplyDeleteNikuwa nimengoja kwa hamu kwamba nitasikia hizi habari kutoka kwa viongozi wetu na hata vyombo vya habari, lakini cha kusikitisha ni kwamba mpaka sasa mwaka umepita, hakuna yeyote nchini kwetu ameshagusia hii resource kubwa tuliyo nayo. Ukizingatia maji ni muhimu hata kuliko hayo mafuta hata na UN imeishazungumzia maji yatakuwa sabubu ya vita kati ya nchi mbeleni. Je kwanini viongozi wetu wasitilie mkazo katika sekta ya maji? Maji safi ni chanzo cha maendeleo ya watu ukizingatia kwamba maji yanachangia afya nzuri na afya nzuri inachangia watu kuwa na uwezo wa kuchangia maendeleo yao na ya nchi kwa ujumla. vitakuwa vya kupigania maji
ata mimi nakuunga mkono anony 1:01. Nafikili brain ya huyo anony #2 inahitaji booster tena booooooster yani kubwa kwelikweli.
ReplyDeleteMulox