
Mama Kikwete alikuwa mgeni rasmi katika kuadhimisha siku ya wachimbaji madini iliyoandaliwa na chama hicho. Katika hotuba yake wakati wa hafla hiyo Mama Kikwete amewahimiza wanawake hao kuimarisha vyama vyao vya ushirika ili kupata mitaji ya kutosha na kuratibu shughuli zao kwa ufanisi Zaidi
Mie nilidhani hao akina mama wanadoa macho kuangalia aina za chatini... kumbe aisee ni madini,yaani 'best friend of a woman'!!!
ReplyDeletemama salma huwa anapendeza wajameni haswa akivaa kiafrika na sio kimagharibi.umependeza sana mama.
ReplyDeleteMAMA KIKWETE UMEPENDEZA MUNGU AKULINDE AFYA YAKO MAMA YETU KILA LKHERI KATIKA SHUGHULI ZOTE ZA KIJAMII
ReplyDeleteBinti nimekubali mapigo yako....ama kweli uu mrembo kweli kweli.......hongera mdada.
ReplyDeletetunashukuu na kuona kwamba akina mama wanakuja juu katika biashara mbalimbali na kujitahidi kujiinua kiuchumi.
ReplyDeleteNYIE KINA MAMA NA KINA DADA. KWANZA HONERENI. LAKINI MBONI MNA ROHO MBAYA? MNATAKIWA KUWASAIDIA WANAWAKE WENZENU AMBAO HAWANA KAZI YOYOTE ILA KUKAA TU KAMA VILE KINA LILIAN MZIRAY. WAHAMASISHENI KATIKA BIASHARA HIZI. HATA KAMA HAWANA ELIMU, SI HOJA, KWANI MAMBO YA MADINI NI RAHISI KUJIVUNJA NINAUHAKIKA WATAMUDU. TANGAZENI KUPITIA MICHUZI BLOG, KAMA MNAVYOONA WENGINE WANATANGAZA KUTAFUTA KAZI HUMU, NA WATAFANIKIWA. HII BLOG IMESAIDIA MENGI NA KULETA MAENDELEO
ReplyDelete