Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2008

    Huyo muandaaji wa hiyo african night helsinki mashauzi tu hana lolote! Madeni yamemjaa ka serikali ya tz. Mziki mbovu nyimbo hizo hizo kila wakati.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2008

    Huyo Muandaaji wa African Night ndio mdhamini mkubwa sasa hivi wa FC BONGO. Wewe anonymous hapo juu kama unamuonea wivu au kama ulishindwa kufanya nae kazi ulie tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2008

    Sasa wewe anonymous mbona watu kibao wanamadeni ya aina yake, wengine nyumba, wengine ya magari, kwahiyo kumbuka kuwa deni linalipwa sio la bure, huwezi kuwa na deni kama huna uwezo wa kulilipa sio, au haujaenda darasa............!!!!

    Wee inaelekea kabisa unakisogo na mwenzio na maendeleo yake, anza na na wewe biashara yako basi, sio unakaan na kumdiss mwenzako maendeleo yake, kumbuka mwenzio ni Manggi au Mchagga kwa neno lingine na kwahiyo elewa sio......U KNOW!

    ALL THE BEST ESPECIALLY TO YOUR SUCCESS_CHEARS!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2008

    Kweli wa2 wanaroho ya kwanini. Sasa uandaaji wake na madeni vimeingiliana vipi? We kama huna fedha ya kwenda tuliza boli kacheze ice hockey inshallah labda utapata au utaanza nawe kuandaa African night yako na utakuja na nyimbo mpya. Big up Muandaaji usisikilize wanafki.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 05, 2008

    Du! nashukuru sana mdau ulienipatia taarifa kuhusu kuwa mtuflani anaandika kuhusu mimi katika globu.

    Yaani amekosa cha kufanya sio, au huyu ndiye yule niliyemnyima zile hela ya euro 60 ili aweze kwenda kunywa zile bia za euro 2.

    anyway, hainisumbui, kwani ndio nazidi kufaidika na wale wenye kinyongo na maendeleo yangu katika fani flani flani.

    Nitazidi kunufaika na kwenda juu kwani wengi walishajaribu kuniangusha lakini wao ndio walianguka na mimi bado niko katika game na hii ni mpaka kufa mtu sio.

    Akikosa kazi ya kufanya basi ajiunge na kikosi cha dasteppaz apate hela ambayo ameitolea jasho na sio kukaa na kuomba omba usawa..nenda KELA KAMA MAISHA YAMEKUSHINDA.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 05, 2008

    Mangi kitu gani wewe? Labda Mangi meza. Mangi gani huna malengo, Mr misifa kweli je? Ukweli Lazima uambiwe! Be latest... Ingia website za kibongo uone nyimbo mpya. Sisi wateja ndo tuliokufikisha hapo ulipo, so unapoambiwa sikiliza. Piga mziki nyumbani kwako basi,ucheze na mkeo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 05, 2008

    Sawa Mr/Mrs_Know Everything!

    Mimi naona kama naongea na mteja mmoja tu, sio wateja, na mteja anaeingiaga kwa invitation card sio, changia changia basi ili upigiwe nyimbo utakazo.

    Kama vipi onana direct na Ma'Dj's wakutoe baruti!

    Kilasiku nampigia mke wangu nyimbo hizo sio, ndio maana siku za AFR NITE nakaaga pembeni kwani nawaachia wataalam washike uskani katika mitambo ya mziki sio.

    hallo.....!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...