Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2008

    Kipanya massage imeeleweka U got to endekeza ushirikina/ uchawi to move forward. sasa wabongo mtamwelewa kipanya massage aliokuwa unawapa picha kamili.
    An artist massage is always abstract with different meanings.
    Nimewahi kuona picha ambayo inategemea na mood ulikuwa nayo. Unaweza kusema hiyo picha mtu analia au ana furaha.
    Kipanya get on their heads man u just doing a wonderful job

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2008

    Anony wa kwanza tuko pamoja, kipanya message zake zimetulia yakupasa ukae chini utafakari mara mbili.big up kipanya.Lakini utaona 'senene' wanavyompinga na kumponda.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2008

    Hivi kipanya umeshatengeneza kitabu cha collection zako au copyright niaje? Tengeneza kitabu zisije cartoon zako zikasahaulika kama zile tulikua tunasoma tukiwa wadogo kwenye gazeti la uhuru za wababu wa wilili hivi na mwanamke mmoja walikua wanavichwa virefu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 04, 2008

    Anonymous wa hapo juu 6.09pm naakunga mkono, enzi zetu chakubanga ,polo, chupaki, mama chupaki na wageni wao kadhaa ,walikuwa wakituweka up to date na social political atmosphere ya wakati, LAKINI MZEE KIPANYA WEEWE SIO TU UPO MATURED ON THIS SUBJECT ,BALI WEWE MWENYEWE NI MODERN, FUNKY "ON THE MONEY", KWA HIYO SUALA LA KITABU NI MUHIMU MZEE. MAANA WENGI TUPO NYUMA YAKO. LABDA HAPO MBELE YA MAISHA TUTAKUKUTA KWENYE UGOMBEZI WA UONGOZI WA NCHI KWANI MTAZAMO WAKO WA KISIASA NI MFANO KWA HI MODERN GENERESHENI,.....KITABU MUHIMU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...