Kwako Mr.michuzi,
Pole na kazi,
Nimetengeneza "video tutorial" inayoelekeza jinsi ya ku-type kwa kutumia mouse."how to type with your mouse"Naomba kupitia kwenye blog yako ya jamii unifikishie ujumbe huu kwa watanzania wenzaguwaiangalie na kutoa michango yao.
Nimetengeneza "video tutorial" inayoelekeza jinsi ya ku-type kwa kutumia mouse."how to type with your mouse"Naomba kupitia kwenye blog yako ya jamii unifikishie ujumbe huu kwa watanzania wenzaguwaiangalie na kutoa michango yao.
Link ya hiyo video:
Mimi mdau wa blog yako!
Thanks for usefull advise, lakini huyu jamaa anezungumza kwenye video ana accent ya kighana, hana accent ya kibongo kabisa.
ReplyDeletewewe unayezungumzia accent wewe lazima uko marekani ninge penda sana kujua au kusikia accent yako,manake badala ya kusoma na kusikiliza anyoyasema kipanya wewe umeangalia accent tuu.acha zako
ReplyDeletehaya ndo mambo ya kuelimishana safi sana mdau ulietufungua macho sie tulokuwa hatujui.
ReplyDeleteNdugu usitudanganye na kutaka umaarufu kupitia migongo ya watu wengine,kusema umetengeneza wewe si kweli labda kwa asiyejua ndiyo ataona wewe ni mbunifu kumbe si lolote si chochote. Hii program ipo kny Window Vista pack ambayo mimi ndiyo naitumia sijui hizo program zingine za Window XP,2000 nk.hivyo kusema wewe ndiyo umeitengeneza si kweli wadanganye wasiojua
ReplyDeleteMdau UK
Hongera jamaa kwakufunguwa watu macho, mie nilikuwa naijuwa wakati keyboard haifanyi kazi ila sioni kama nzuri kama kutype, video yako nzuri ulivyoifanya kama kunautundu mwengine wa PC ambao hatuujui tuzidi kuelimishana jamani kuliko chuki na majungu. iwe accent ya marekani kimatumbi kizaramo kikulya hatujali tunachojali kama tunaweza kuelewana na kufahamishana. haya Ndio Watanzania na Waafrica tunatakiwa tufanye pamoja sio kulana vichwa.
ReplyDeleteAsante kwa kutuelimisha.
ReplyDeleteAnony wa Tarehe May 08, 2008 2:09 PM we fa** nini? Nani kakwambia ametengeneza? Jamaa kaonesha ya kwamba unaweza ukatumia hiyo program iliyopo ktk computer kama ikitoke keyboard haifanyi kazi au ukipatwa na matatizo ktk mkono mmoja.
ReplyDeleteMdau wa hii nakala usijali maneno ya Wabongo ndio walivyo wanasubiri Wahindi na Wazungu wafanye na kuwapongeza lakini akifanya Mbongo mwenzao ni kosa na watachonga weheeee mpaka iwe nongwa.
Kazi nzuri sana kwa kuelimisha watu ambao hawakujua kama unaweza kufanya
Jamani, sijajua hapa kwanini kama hii taarifa ni kwaajili ya watanzania, Kiingereza kinakujaje. Nilidhani pengine ingeandaliwa kwa lugha ya kiswahili ingesaidia zaidi - ni mtazamo tu misinimaindi.
ReplyDeleteMdau NL/DK
Mdau asante, it's very handy to know a few tricks,mie si mlemavu ila na tabia kula huku na work on my PC.Naona hii method itanipunguzia shida niipatayo.Naungana na mdau alie sema kama kuna utundu mwengine tujulishe.
ReplyDelete