Familia ya Lema inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa Mr. Humphrey Reuben Lema aliyefariki jumatatu asubuhi tarehe 5/5/08 Dar es Salaam, Tanzania.
Mipango ya mazishi inapangwa nyumbani kwa marehemu, Kinondoni. Tunawashukuru sana ndugu, jamaa na marafiki wote wanaotusaidia katika kipindi hiki kigumu cha maisha yetu, tunashukuru kwa maombi, sala na salamu zenu.
Tunawaombea baraka na amani kwa kila mmoja wenu popote pale mlipo.Mungu ametoa Mungu ametwaa, jina lake liimidiwe.
Commemorate service will be held on Sunday, May, 18th 2008 at
St Michael Lutheran Church,
7211 Oakland Dr,
Portage,
MI 49024.
Karibuni wote.Kwa habari zaidi mnaweza kuwasiliana na:
Camilla Lema, Simu: 269-830-9767
au Amanda Lema,
Simu: 269-420-2467
Natanguliza shukrani zangu tena.......
Tumaini Mosha
A.K.A Mangi mdanganyika
Kutirenyi moose,Mungu mwenyewe awatangulie katika kipindi hiki kigumu,Kusisirie nnu.
ReplyDeleteTonga.
Mungu atawabariki muwe na nguvu na matumaini mapya, Poleni sana Camilla Lema na Wadogo zako, Mama na familia yote ya Marehemu.Nimesikitika kusikia mmeondokewa na Baba yenu.Mungu amlaze Baba yetu mpendwa kwa Amani.
ReplyDeleteHouston.
poleni sana Familia ya Mzee Lema nyumbani, Watoto wake Marekani ndugu jamaa na marafiki.Mungu mwamuzi wa yote.Mbarikiwe mzidishwe Imani.R.I.P Mzee wetu.
ReplyDeleteTX.Usa.
Poleni sana Ndemikwa na ndugu na jamaa wote wa marehemu. Tunawaombea.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa kwa msiba uliowapata,mungu amlaze mahali pema peponi mzee Lema amen.Tumaini Mosha naomba tuwasiliane kwa email address hii hoseasichone@yahoo.com
ReplyDeletePoleni sana mama, Camila, Manka na Babuu kwa msiba huu mzito. Bwana ametoa, bwana ametwaa jina a bwana lihimidiwe.
ReplyDeleteFriend.
UNCLE HUMPHREY, MAY GOD ALMIGHTY AND EM ANGELS BE WITH YOU WHEREVER YOU ARE.. REST IN PEACE UNCLE.. WILL MISS YOUR JOKES!!
ReplyDeleteBrenda Checkingo!
Poleni sana familia ya Lema Mungu awape faraja kwa kipindi hicho kigumu.Cammila, Manka na Babuu.
ReplyDeleteMdau UK.
Cami, Amanda na Babu poleni sana. Mungu amlaze mahali pema peponi Amen.
ReplyDeleteLK-ATL