Jumuiya ya watanzania Washington-Dc inayofuraha kuwatangazia kuwa kutakuwa na mkutano wa hadhara utakaofanyika siku ya jumatano,tarehe 05/14/08. saa 6.00pm Ambapo Rais wa Zanzibar mheshimwa Amani Abeid Karume atahutubia.
Watu wote ambao wangependa kuhudhuria mkutano huu wanaombwa kujiandikisha majina yao na namba za simu kwa kupitia anuani ya Barua pepe Tanzaniadc@gmail.com kabla ya siku ya ijumaa 05/09/08 ili kuweza kuandaa mkutano na sehemu ambayo mkutano utafanyika.
Kwa wale ambao hawatojiandikisha hawataruhusiwa kuingia.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Rais wa jumuiya Stephano Mhina 443-278-6119
Katibu Mkuu Khalfani Lyimo 202-468-8312
Mweka hazina Kenyatta mayanga 240-565-8289
Asante!
Association of Tanzania
Washington-Dc
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...