Tanzania Association UK inasikitika kutangaza msiba wa Omar Lambi aliyefariki jana Jumamosi katika hospitali ya university College Hospital -Euston kutona na cancer ya kichwa "Nasopharyngeal Carlinoma"
Marehemu Lambi alikuwa Katibu wa kamati ya muda ya Tanzania Association (TA) ilyoratibu rasimu ya katiba hadi kufanikisha uchaguzi Mkuu uliwachagua uongozi wa sasa.
Pia huko Tanzania, marehemu Lambo alishawahi kuwa rais wa Chuo Cha usimamizi wa fedha "Instute of Finance Management" (IFM).
Lakini kabla ya kumaliza hiyo kazi, marehemu aliandika barua ya kujiuzuru kutokana na hali yake ya afya ili kupata muda zaidi ya kujiuguza.
Akiwa hapa Uingereza, Marehemu alikuwa na Masters Degree ya Strategic Management na mwezi wa tisa mwaka huu alikuwa yupo mbioni kuchukua PHD.
Wakati wa uhai wake alikuwa ni kiongozi wa mfano na aliyejitolea muda wake kwa ajilio ya kufanikisha masuala mbalinmbali yenye faida kwa Watanzania wenzake na Taifa kwa ujumla.
Jumuiya ya Watanzania imempoteza mwanachama ambae alikuwa na mchango mkubwa kwenye chama.
Mungu amlaze mahali pema peponi.
Ameen.
Ili kufanikisha mazishi ya marehemu, tunaomba michango yenu ya hali na mali.
kwa mawasiliano zaidi wasiliana na:
Almas Kassongo- 079830 73526.
Adam- Mgoyi 07817290269.
Mhando -00447863138725
juma Pinto-07752524846
Kindamba-07903133646
au tuma mchango wako kwenye akaunti hii
Acc No 132589600
sort Code 308412
Jina la mwenye Acc mr S.S Surus
Bank LLoyds TSB
Rais wetu wa IFM 1997-1998 Omar Lambi atazikwa hapa Tanzania au huko UK ? Naomba kuelimishwa.
ReplyDeleteLambi kampeni/kiongozi member 97/98.
Poleni sana kwa msiba watu wa London na zaidirambirambi ziwafikie ndugu wa karibu wa marehemu. Bwana alitoa na Bwana ametwaa .
ReplyDeleteRIP O. Lambi .
Rest In Peace Omary!
ReplyDeleteHe will always be remembered and deeply missed.
Could Almighty give his loved ones, the much needed patience during this testing time!
Ameen,
Mzee Wauyagauyaga
Atazikwa London siku ya Jumanne. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amen.
ReplyDeletePoleni sana ndugu zetu wa London kwa msiba huo mkubwa.Tumezipokea habari hizo za kuhuzunisha kwa majonzi makubwa.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.Amina.
ReplyDeleteRest in peace Big Man.we will deeply and terribly miss u.stay salama omary we r all in the same way.
ReplyDeletemdau shebe
Marekebisho ktk 'Account Details':
ReplyDeleteAccount No: 13258960
Sort Code: 30-84-12
Jina/Name: Mr. Said S. Surur
Bank: Lloyds TSB
Naomba niweke marekebisho kidogo hapo juu, account imeonyeshwa na tarakimu 9 badala ya 8.
Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi ameen.
'Yeye ametangulia sisi tupo nyuma yake tunamfuata'.
Mtunza fedha: Waziri Kindamba
KWA NIABA YA WATANZANIA WA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALY, TUNATOA POLE KWA JUMUIYA YA UK, NDUGU NA JAMAA WOTE WA KARIBU, MUNGU AILAZA ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA. AMIN
ReplyDeleteMWENYEKITI WA JUMUIYA ITALY.
A.A ABDULRAHAMANI (KOSH)
Atazikwa kwenye makaburi yaliyopo manor Park Jumanne saa 7 mchana.Wote mnakaribishwa na mahala pakukutana ni
ReplyDelete2 Valerian Way
Westham
London
E15 3DF unaweza kupiga simu 02075111951 kama unataka maelezo jinsi gani utafika.
Ndugu wa Mfiwa
RIP Mr Lambi,
ReplyDeleteOmari...it's is almost 10 years since we've together but i feel like is just yesterday...
I felt speechless especially as i remember his kindness and his willingness to help and share no matter how little he might have...he was like candle in the wind and he'll be remembered by many.
The Quran says that "he who gives life is an altimate cause of dealth" and the bibble says "God giveth and god taketh" so we are sure he (Omari)has returned back to whom who sent him(Omari) to us. You can't return somewhere you didn't come from, so we are sure our brother Omari has returned to our merciful Allah God.
But he(Omari) is still living, not in the physical but in that which is greater than the physical...he lives in those who have inspired by his way of life..his devotion to his people especially Tanzanians as he was always in front line trying to sort out some issues in different angle of their concerns.
He is also living in those late 90's gents and ladies who can remember his life when he was student at IFM as he was courageous, loyal and friend to so many people.
He was good and let Allah God do his just by resting him in peace.
Amen
INNA LILLAHI WA INNA ILLAHI RAJI'UN.M'MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEPONI.
ReplyDelete"SISI SOTE NI WA MWENYEZIMENGU NA KWAKE TUTAREJEA".
ReplyDeleteTUTAKUKUMBUKA KWA MENGI MEMA ULIYOTUFANYIA ULIPOKUWA RAIS WETU IFM.MWENYEZIMUNGU AKUFUTIE ZAMBI ZAKO ZATE NA AKUINGIZE PEPON KWA REHEMA ZAKE. AMINA!.
Poleni jamaa na marafiki wa familia, na wa-Tanzania wote!
ReplyDeleteJina la ugongwa huo ni "Nasopharyngeal Carcinoma". Ni kansa ya koo na wala si kichwa!
passing of a legend.
ReplyDeleterest in peace lambi
he died in the same way he lived, fighting. sorry for him that this was a bit too heavy to take.
example of selflesness , using most of his time for the benefit of the other.
you will be remembered
Poleni sana Familia na marafiki wa Marehemu. Tuombe kwa ajili ya ndugu yetu aliyetutangulia na kwa ajili yetu sisi tuliobaki nyuma.R.I.P Kaka.
ReplyDeleteKutokana na kikao cha mwisho kilichofanyika kuhusu msiba wa ndg. yetu Bw. Omari Lambi, Naomba kutaarifu mahali atakapopumzishwa ndg yetu kesho, jumanne 06/05/2008 saa 10 alasiri.
ReplyDeleteAnuani; Gardens of Peace, Elmbridge Road, Hainault, Ilford, Essex, IG6 3SW. Tel:02085026000
Waziri Kindamba, Mtunza Fedha.
(07903133646)
i have just received this msg from my aunt,it wont be bad if i post it,mazishi ya omary lambi:wanawake msikitini saa5.266-268 high street north,manor park.london,wanaume kuzika hainult,Elmabridge road,hainult ilford essex.IG6 3SW,nearest hainult,station,central line.
ReplyDeleteMsiba wa Omari Lambi, Mazishi; Jumanne 06/05/2008 , Saa 10 Alasiri
ReplyDeleteNdg, jamaa, marafiki na Watanzania wote kwa ujumla tunapenda kuwajulisha kwamba mazishi ya ndg yetu Bw. Omari Lambi yatafanyika makaburi yaliyopo; Gardens of Peace,Elmbridge Road, Hainault, Ilford, Essex, IG6 3SW. Kituo cha Treni cha Karibu ni Hainault Station, Central Line. Wanaume wanaombwa kwenda makaburini moja kwa moja ambako pia ndipo atakaposwaliwa marehemu.
Wanawake watakuwa na kisomo kitakachofanyika kuanzia saa 5 Asubuhi; 266-268 High Street North, Manor Park, London, E12 6SB.
Imetolewa na kamati ya Msiba