Tanzania Association UK inasikitika kutangaza msiba wa Omar Lambi aliyefariki jana Jumamosi katika hospitali ya university College Hospital -Euston kutona na cancer ya kichwa "Nasopharyngeal Carlinoma"


Marehemu Lambi alikuwa Katibu wa kamati ya muda ya Tanzania Association (TA) ilyoratibu rasimu ya katiba hadi kufanikisha uchaguzi Mkuu uliwachagua uongozi wa sasa.


Pia huko Tanzania, marehemu Lambo alishawahi kuwa rais wa Chuo Cha usimamizi wa fedha "Instute of Finance Management" (IFM).


Lakini kabla ya kumaliza hiyo kazi, marehemu aliandika barua ya kujiuzuru kutokana na hali yake ya afya ili kupata muda zaidi ya kujiuguza.


Akiwa hapa Uingereza, Marehemu alikuwa na Masters Degree ya Strategic Management na mwezi wa tisa mwaka huu alikuwa yupo mbioni kuchukua PHD.


Wakati wa uhai wake alikuwa ni kiongozi wa mfano na aliyejitolea muda wake kwa ajilio ya kufanikisha masuala mbalinmbali yenye faida kwa Watanzania wenzake na Taifa kwa ujumla.


Jumuiya ya Watanzania imempoteza mwanachama ambae alikuwa na mchango mkubwa kwenye chama.


Mungu amlaze mahali pema peponi.

Ameen.


Ili kufanikisha mazishi ya marehemu, tunaomba michango yenu ya hali na mali.


kwa mawasiliano zaidi wasiliana na:


Almas Kassongo- 079830 73526.

Adam- Mgoyi 07817290269.

Mhando -00447863138725

juma Pinto-07752524846

Kindamba-07903133646

au tuma mchango wako kwenye akaunti hii


Acc No 132589600


sort Code 308412


Jina la mwenye Acc mr S.S Surus


Bank LLoyds TSB

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2008

    Rais wetu wa IFM 1997-1998 Omar Lambi atazikwa hapa Tanzania au huko UK ? Naomba kuelimishwa.
    Lambi kampeni/kiongozi member 97/98.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2008

    Poleni sana kwa msiba watu wa London na zaidirambirambi ziwafikie ndugu wa karibu wa marehemu. Bwana alitoa na Bwana ametwaa .

    RIP O. Lambi .

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2008

    Rest In Peace Omary!

    He will always be remembered and deeply missed.

    Could Almighty give his loved ones, the much needed patience during this testing time!

    Ameen,

    Mzee Wauyagauyaga

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2008

    Atazikwa London siku ya Jumanne. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amen.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 05, 2008

    Poleni sana ndugu zetu wa London kwa msiba huo mkubwa.Tumezipokea habari hizo za kuhuzunisha kwa majonzi makubwa.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.Amina.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 05, 2008

    Rest in peace Big Man.we will deeply and terribly miss u.stay salama omary we r all in the same way.
    mdau shebe

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 05, 2008

    Marekebisho ktk 'Account Details':

    Account No: 13258960
    Sort Code: 30-84-12
    Jina/Name: Mr. Said S. Surur
    Bank: Lloyds TSB

    Naomba niweke marekebisho kidogo hapo juu, account imeonyeshwa na tarakimu 9 badala ya 8.

    Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi ameen.

    'Yeye ametangulia sisi tupo nyuma yake tunamfuata'.

    Mtunza fedha: Waziri Kindamba

    ReplyDelete
  8. KWA NIABA YA WATANZANIA WA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALY, TUNATOA POLE KWA JUMUIYA YA UK, NDUGU NA JAMAA WOTE WA KARIBU, MUNGU AILAZA ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA. AMIN

    MWENYEKITI WA JUMUIYA ITALY.
    A.A ABDULRAHAMANI (KOSH)

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 05, 2008

    Atazikwa kwenye makaburi yaliyopo manor Park Jumanne saa 7 mchana.Wote mnakaribishwa na mahala pakukutana ni

    2 Valerian Way
    Westham
    London
    E15 3DF unaweza kupiga simu 02075111951 kama unataka maelezo jinsi gani utafika.

    Ndugu wa Mfiwa

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 05, 2008

    RIP Mr Lambi,
    Omari...it's is almost 10 years since we've together but i feel like is just yesterday...
    I felt speechless especially as i remember his kindness and his willingness to help and share no matter how little he might have...he was like candle in the wind and he'll be remembered by many.
    The Quran says that "he who gives life is an altimate cause of dealth" and the bibble says "God giveth and god taketh" so we are sure he (Omari)has returned back to whom who sent him(Omari) to us. You can't return somewhere you didn't come from, so we are sure our brother Omari has returned to our merciful Allah God.
    But he(Omari) is still living, not in the physical but in that which is greater than the physical...he lives in those who have inspired by his way of life..his devotion to his people especially Tanzanians as he was always in front line trying to sort out some issues in different angle of their concerns.
    He is also living in those late 90's gents and ladies who can remember his life when he was student at IFM as he was courageous, loyal and friend to so many people.
    He was good and let Allah God do his just by resting him in peace.
    Amen

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 05, 2008

    INNA LILLAHI WA INNA ILLAHI RAJI'UN.M'MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEPONI.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 05, 2008

    "SISI SOTE NI WA MWENYEZIMENGU NA KWAKE TUTAREJEA".

    TUTAKUKUMBUKA KWA MENGI MEMA ULIYOTUFANYIA ULIPOKUWA RAIS WETU IFM.MWENYEZIMUNGU AKUFUTIE ZAMBI ZAKO ZATE NA AKUINGIZE PEPON KWA REHEMA ZAKE. AMINA!.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 05, 2008

    Poleni jamaa na marafiki wa familia, na wa-Tanzania wote!

    Jina la ugongwa huo ni "Nasopharyngeal Carcinoma". Ni kansa ya koo na wala si kichwa!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 05, 2008

    passing of a legend.

    rest in peace lambi
    he died in the same way he lived, fighting. sorry for him that this was a bit too heavy to take.

    example of selflesness , using most of his time for the benefit of the other.

    you will be remembered

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 05, 2008

    Poleni sana Familia na marafiki wa Marehemu. Tuombe kwa ajili ya ndugu yetu aliyetutangulia na kwa ajili yetu sisi tuliobaki nyuma.R.I.P Kaka.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 05, 2008

    Kutokana na kikao cha mwisho kilichofanyika kuhusu msiba wa ndg. yetu Bw. Omari Lambi, Naomba kutaarifu mahali atakapopumzishwa ndg yetu kesho, jumanne 06/05/2008 saa 10 alasiri.

    Anuani; Gardens of Peace, Elmbridge Road, Hainault, Ilford, Essex, IG6 3SW. Tel:02085026000

    Waziri Kindamba, Mtunza Fedha.
    (07903133646)

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 05, 2008

    i have just received this msg from my aunt,it wont be bad if i post it,mazishi ya omary lambi:wanawake msikitini saa5.266-268 high street north,manor park.london,wanaume kuzika hainult,Elmabridge road,hainult ilford essex.IG6 3SW,nearest hainult,station,central line.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 06, 2008

    Msiba wa Omari Lambi, Mazishi; Jumanne 06/05/2008 , Saa 10 Alasiri

    Ndg, jamaa, marafiki na Watanzania wote kwa ujumla tunapenda kuwajulisha kwamba mazishi ya ndg yetu Bw. Omari Lambi yatafanyika makaburi yaliyopo; Gardens of Peace,Elmbridge Road, Hainault, Ilford, Essex, IG6 3SW. Kituo cha Treni cha Karibu ni Hainault Station, Central Line. Wanaume wanaombwa kwenda makaburini moja kwa moja ambako pia ndipo atakaposwaliwa marehemu.

    Wanawake watakuwa na kisomo kitakachofanyika kuanzia saa 5 Asubuhi; 266-268 High Street North, Manor Park, London, E12 6SB.

    Imetolewa na kamati ya Msiba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...