
habari zimeingia sasa hivi toka huko zinasema kwamba chama tawala ukerewe cha labour kinafanya vibaya sana kwenye chaguzi za serikali za mitaa ambapo inasadikiwa chama cha conservative kimeshinda viti kibao na huenda kikakomba na kiti cha umeya wa london.
inasemekana endapo mh. livingston, ambaye amekuwa madarakani toka mwaka 2000, atadondoka litakuwa pigo kubwa sana kwa wamatumbi wengi hasa waishio london kwani jamaa wa conservative hana msalie na watu weusi.
hadi tunaenda mitamboni matokeo ya awali yanaonesha kuwa chama cha conservative kimepata viti 144 kutoka katika viti vya halmashauri 99, ambapo labour kimepoteza viti 145.
wahenga walisema"kulkil filala, kongosho ufunuo" maanayake "lenye mwanzo halikosi mwisho" probably tunaweza kuona mambo kama hayo siku moja Tanzania! kwa chama tawala kupiga pua chini! LAbda!!!!
ReplyDeleteHana msalie na watu weusi???? who said that?? Na Livingstone nae ana makuu yake na hao hao cronies wake alokua anawalipa 100k a year as ethnic minorities advisers ndo wamesababisha aondoke!! check your facts first, its time for Ken to go...... sad that altenative ya watu wa london lies on bafoon Boris!!! Weusi wasiwe na shaka as long as they are law abiding as others ie white, brown, green, yellow you name it..... That what people call scare mongering poleni sana wamatumbi wa london
ReplyDeleteHizi results hazishangazi, kaonyesha mwanzo mwa wiki anahojiwa,hana la kujitetea.Na New Labour wame lose control of the whole country wanaji kokota kwa sasa.Conservative ni balaa tupu labda kutakua na tofauti kidogo wakirudi,kwasababu wanoko wengi wa tory wamestaafu,waliopo madarakani vijana misimamo yao kidogo ina afadhali.Gordon Brown kazi imemshinda,anatu let down sie wamatumbi.
ReplyDeleteI think we should pass that message, to our incumbent government, there was a life after election defeat.
ReplyDeleteThis is not personality contest, it is a policy contest, majority of people always goes for the latter, as their preference. Better Luck next time Mr. Livingstone, we will miss you deeply, but thats life, you don't always get your preference, I would agree with the majority, surely we will come back.
By Mchangiaji.
Anayesena kuwa Conservative ni chama bora kwa weusi naona hajui historia ya UK.
ReplyDeleteHAWA WATU WASHENZI SANA NASHANGAA CHADEMA WAMEUNGANA NAO.
KAULI ALIYOITOA BORIS NI KUWA WEUSI HAWANA AKILI NA UWEZO WAO MDOGO.
HATA UKIWA UNAFUATA SHERIA UK HUNA LAKO KAMA MWEUSI.
LABOUR KWA MARA YA KWANZA WAMECHAGUA MAWAZIRI WEUSI NA WABUNGE KAMA DAVID LAMMY,DADA AMOS N.K
KUNA WABUNGE KAMA BUTLER DOWN
LABOUR WAMEKUWA WAKITOA FUNDS NYINGI KUENDELEZA WEUSI. NA WANAPENDA WAGENI. FUATILIA WATU WANGAPI WAMEPATA INDEFINITELY STAY KIPINDI CHA LABOUR.
BLAIR ALIPOINGIA 1997 ALITOA VIBALI ELFU 56 KWA WEUSI NA WAMEKUWA WAKITOA KILA MARA.
CONSERAVTIVE HAWANA MBUNGE MWEUSI HATA MWENYE ASILI YA UK.
Juu Ya Boris kutoka kwenye wikipedia. Ana damu ya Kituruki na great grandfather wake ni Ali Kemal Bey. See below:
ReplyDeleteJohnson is the oldest of the four children (including Rachel) of Stanley Johnson, a former Conservative MEP and employee of the European Commission and World Bank and his first wife, painter Charlotte Johnson Wahl, the daughter of Sir James Fawcett, a prominent barrister[5] and president of the European Commission of Human Rights.[6]. Stanley Johnson also has two children by his second wife. On his father's side Johnson is great-grandson of Ali Kemal Bey, a liberal Turkish journalist and interior minister in the government of Damat Ferid Pasha, Grand Vizier of the Ottoman Empire who was murdered during the Turkish War of Independence. During World War I Boris's grandfather and great aunt were recognised as British subjects and took their grandmother's maiden name of Johnson.
Hapo wanaogelewa wamatumbi wa kutandia, labda na wewe uko kundini! Kama una makaratasi, uhitaji kujitetea. Kuna wamatumbi kibao huko stowaways. Nadhani mwanzo wa mwisho wao ndo huooooooooo............! Rudini bongo, kazi kibao. AKili kichwani. Mmewahi sikia mtu kafa na njaa eti kwa kuwa hana kazi huku!!??!!!
ReplyDeleteWewe hapo juu unae sema conservative hawana wabunge au mawaziri weusi that is not entirely true inawezekana umekuja miaka ya karibuni,ni kweli tory wana misimamo mikali ukilinganisha na labour lakini hai maanishi kua ubaguzi wakiaina haundelei kipindi cha labour.Statistics bado zinaonyesha wananchi weusi including the afro caribbean,bangladesh na pakistan bado hawa pewi haki sawa katika elimu ,sehemu za kazi etc,kama wachina na wenyewe wazungu na hii ndio inaleta umasikini katika jamii hizi.Yote haya yanatokea kwenye serikali ya labour.
ReplyDeleteSwala la vibali serikali imekua haina choice ila kutoa amnesty wageni wamekua wengi kiasi kwamba kuwarudisha wote walipo toka inahitajika pesa nyingi mno kuwapandisha ndege na kuwarudisha kwao.Labda serikali ya conservative ikija italeta mabadiliko ya kuhusiana na sisi wageni kwani ukweli ni kwamba wamezidiwa msisahau kua hiki ni kisiwa kina uwezo mdogo sana wa kubeba umati uliopo.Na kingine sisi wageni baada ya kupewa vibali vya kuishi tumejisahau kua kuna swala la kupigia hawa watu kura ili waendelee kuwepo, kumbukeni Britain has what is called unwritten constitution,endapo chama chenye chuki na watu weusi kikipata nafasi wanaweza kugeuza mambo na sheria bungeni tu wala hawahitaji mjadala.
I agree it's a policy contest but Blair's personality was important in securing those ten years, something that Gordon Brown lucks no policy no personality angebaki tu kua chancellor of the exchequer kwani kazi aliifanya kwa ufanisi.
Boris Johnson Meya wa kwanza kutoka Conservative na kadai kazi yake kubwa ni kupambana na MAOVU hivo kazi kwa mafisadi.Mpo Wamatumbi?!
ReplyDeletenyarubamba