Home
Unlabelled
pafyumu medini morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wamekuona fala wakuja na miwani yako ndio maana wakakubambikia.
ReplyDeleteMOROGORO MJINI KASORO BAHALI.fake imports from china.
ReplyDeleteYaani wewe unashangaa hiyo, mbona kuna redio zinaitwa PANASOANIC, na saa za SIEKO?
ReplyDeleteMdau hujani-converse kwamba umeuziwa feck products kwa sababu its clearly that the 2 bottles has different names as well you can see the other one got some additional prints "lotion" or something on it,the fact that you were not carefully enough or just jumped onto buying it by a mere colour visual has brought you into buying a different brand of perfume other than the one you intended or else the price dragged you into believing that you are getting something expensive for cheap.Waswahili walisema"umeula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua" next stop at buying stuffs you should be careful to what you are geting bro
ReplyDeleteMimi nadhani kumshambulia bwana kitime si sahihi, wengi miongoni mwetu angalau mara moja tumewahi kuwa victim wa bidhaa feki, hata pale ambapo unadhani unaweza kuzigundua si kila pahali unapata nafasi ya kufanya hivyo, hebu jaalia uko hospital ya Amana umelazwa ukiwa hujijui hujitambui kwa malaria halafu dawa ya sindano unayodungwa ni feki kutoka india, sidhani kwa hali yako utakuwa na ubavu wa kumwambia nesi stop! nipe kwanza niisome nihakikishe sio sindano feki! Hapa inabidi tutafakari na kuona jinsi gani tatizo la bidhaa feki linavyoathiri maisha yetu ya kila siku, na kuchangia fikra endelevu za kupandana na tatizo hilo.
ReplyDeleteWewe hizi burt ulivyo nunua kwani hukuzisoma jina..ulinunua dukani au njiani tuu...kama njiani utakuwa fala sana..
ReplyDeletedu jamani mbona hivyo tena...sidhani kama ni ufala kuona mtu kauziwa kitu feki, tatizo ni kama baadhi ya wajumbe wanavyosema..huu mtandao wa vitu bandia naona watu wa TBS kazi imewashinda..mara nyingine huwezi kutambua utofauti wa hizo bidhaa mbili, na si kwenye unyunyu tu ni vitu vingi sana
ReplyDeletepole kakangu kwa yaliyokupata
Nyaningedere
watu wengine mnapenda dezo. Vitu halari na bei zao huwa zinafanana sasa wewe na elfu saba yako ulitaka origina perfume kwani kiwanda cha hizo perfume ni chako! polez anyway.
ReplyDeleteMULOX
Mimi nadhani jamaa hakutapeliwa kama anavyodai kwani yeye amenunua "Burt" kama invyoonekana.
ReplyDeleteHivi karne hii nani anatumia Brut?? Hawa wa 1947 bado wapo?
ReplyDeletekweli michuzi ana kazi sana ya kuelimisha senene!! katika maelezo anasema kuwa ni maji ya harufu, yaani iwe brut au burt, swala ni kuwa let say burt, lakini ni maji!!! yenye harufu huu ni wizi si swala la kuwa huyu ni mjinga na si mara ya kwanza yeye kununua,jamani msijifanye kuwa nyie ni wajanja sana wakati utafiti unaonyesha kuwa asilimia 60 ya bidhaa za Tanzania ni feki, nanyi mko humohumo!
ReplyDeletehili swala la kusema fala na kashfa nyingine hazitarajiwi kusemwa na watu wa aina yenu, nafikiri kujadili tatizo ni vizuri hapa hamna solution ya tatizo alilosema jamaa.
aibu hii!!!, sasa sijui wale wa vijiweni watasemaje.
KILA SIKU RAHISI NI AGHALI, ACHA KUNUNUA VITU KWENYE MEZA ZA BAA, MADUKA YAPO NA KIKIWA FEKI UNARUDI DUKANI, SASA WEWE RUDI BAA ULIKOINUNUA SIJUI KAMA UTAMKUTA ALIYEKUUZIA.
ReplyDeleteMzee kitime kuna mwenzio anaitwa mzee Kitinya sasa hapo kwa haraka haraka hapo unadhani ni huyo huyo.
ReplyDeleteBidhaa feki ni kitu kilichozagaa nchini, yote tisa kumi vinavyohusiana na maswala ya kupakaa mfano lotion/mafuta na manukato, kunywa m.f. dawa na vinywaji ni hatari kubwa kwa mwili wa mtu, unapakaa lotion/mafuta ya kuiga/kubumba unatoka harara mwili mzima, unaona hata aibu iwapo wewe au mtoto amebadilika ngozi unashangaa mbona natumia hii kitu siku zote inapendezesha, vyereje(vipi) leo? ukichunguza kwa makini toleo na matengenezo ni tofauti na ile halisi.Haipendezi.Pole mzee hii ndo ule mchezo wanaorusha kwenye tv bongoooo darisalam bongooooo
Kitime ..IS CHIPEST GUY.. we angalia hata miwani anayovaa ile ile inayofunika uso mzima toka enzi zile alizokuwa Almasi Orchestra..ushauri bro !! miwani haindani na hadhi yako ...najua wewe Issa hutoi hii..unamlinda mshikaji...
ReplyDeleteteh teh teh CHIPEST GUY .acha kuninyanyapaa bwana hatimae frame nilibadilisha mwaka jana December
ReplyDeleteMzee kitime asikusumbue mtu, mwambie bwa mdogo ujanja ujanani final uzeeni, unamsubiri kwa hamu uzee, nae huenda atavaa fram kama ya steve mchemshaji hasa. kwa! kwa! kwa!
ReplyDelete