Home
Unlabelled
shaaban robert
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
asante
ReplyDeletenilimaliza hapo 1999
any class of 1999 here??????
kina Balu,SHanti shanka,Ramji
Asante kwa picha kaka. Mimi nimesoma hapo A-level PCB (1992-1994)je kuna yeyote tulikuwa sote kipindi hicho?
ReplyDeleteKwako Mzee wa Bunju au Buju...well ni kweli inachanganya,sasa na wewe umetaka maoni kutoka katika imani,mila na desturi..sidhani kama mawaidha yangu yatalalia kokote kati ya hapo..ila nachoweza sema ni kwanza; watu huwaita wake zao au waume zao 'mama' au 'baba' ni kutokana majukumu waliyonayo katika familia..na mara nyingi kama tayari wana watoto. Pili kuitwa huko mara nyingine watu hufupisha/wamekuwa wavivu wa kutamka maneno kwa ujumla wake..mfano..mke wangu ningemwita 'mama Kusi' kwani kusi ni mwanetu..na ivo nitamwita tu "mama" jina analoitwa na mwanetu..tatu ni kuhusu lugha yenyewe..mara nyingi lugha imekuwa inabadilika kutokana na nyakati tofauti na mahitaji mpanuko...kwa sasa ni nadra katika rika/kizazi cha sasa mtu kuwa na mke zaidi ya mmoja..hivyo maana/dhana ya bi-mkubwa kama mke mkubwa haipo na haina ulazima..sababu neno lipo basi watumiaji wa lugha wanalibadili maana..na kutokana na hilo, nne;wake au waume mara baada ya kufunga ndoa na kuanzisha familia yao, kila mmoja huchukua majukumu ya mzazi wake wa awali katika familia. Kwangu mimi kuitana baba au mama ni ishara ya kuongezeka kwa upendo na kutambuana kwa majukumu yetu katika familia tunazozijenga..mara nyingi baada ya ndoa wanafamilia wapya hukaa mbali na familia zao za awali,hivyo basi katika kuwaenzi wazazi na kutambua mchango wao wa kimalezi hujikuta wanaitana katika nafasi hizo ulizozisema awali...sioni ubaya wowote kwa hilo...bora wazazi wetu nao wajue kuwa lugha na mazingira yetu yana mahitaji tofauti kidogo na yale ya kwao...
ReplyDeletepole sana Baba Lukamba..nahisi ni Mr Lukamba
hapo mwasemaje wadau?
Nyaningedere
Mzizima ndo funika bovu..Shaaban Robert enzi zile ukiingia chooni inabidi shati uvue uache nje la sivyo unatoka na harufu ya mle ndani, sijui kama wameshabadilisha.
ReplyDeleteAlaf hata kaghorofa kamoja hawajajenga tu wajameni?
We Kamugisha!! eti mzizima ilikuwa funika acha uongo wako, eti ukienda chooni lazima uvue shati, we ulikuwa mzizima choo cha SRSS kilikuhusu nini kama si uongo, Asante sana michuzi sisi ndio waanzilishi wa kuvaa sket za cream na ufito wa brown, waanzilishi nafikiri wapo wengi Sheila Datoo Headgirl, Baby Kapilima, uko wapi, group ya kutembea kutoka SRSS mpaka Oysterbay, Marehemu Chris Jomalema na Abel Siwale jamani Mungu amewachukua wadogo wadogo,bila kumsahau Ippy Malecela alikuwa monitor wetu Mh inasikitika. Haya Sitamsahau Sir Mathias alikuwa anatufundisha Chemistry mh alikuwa anapenda sana kutufinya makwapani vilikuwa vinaumakweli, bila kumsahau Bichwa Korosho mwl wa Acct. Mr Kumar Upo, Mwl Domondo - Math mh alikuwa mkali!!!!!!!!Mr. Asanga - Scince nimepita hapo SRSS siku hizi ndani kumekuwa kuzuri sana, Mohamed Bahshwan Uko wp
ReplyDeletewahindi bana shule hizo ada bei ghaliiii cheki miejngo yaoooo ovyooo hata hao mzizima si ndo wale ambao mvua ikinyesha shule yaenda likizo kwa mafuriko miaka nenda miaka rudi?? ingawaje kitaaluma wanajitahidi...michu hebu tuwekee na shule kama loyola na feza boys alafu tulinganishe
ReplyDeleteNAOMBA MWENYE PICHA YA BAGAMOYO P'SE AISHUSHE NA HASA WALE FOUNDING MEMBERS 1973..........
ReplyDeleteMmh kamugisha wewe ulisoma miaka gani? au enzi zile tofilo bado analima mchicha kule lab?
ReplyDeletehahah anon 2:56 umenichekeshaaa
ReplyDeleteaisee kamugisha umepotea ndugu yangu,ila UPO??? we umeenda kusoma a level mzizima basi umesahau ulipotoka unakandia wenzako,embu acha hizo kaka ngu. kina jose na amu wako wapi?
anon wa 2:23 umekosea,mwalimu w amaths sio domodo ni NDOMONDO na kapandishwa cheo sasa ni mkuu wa 3 kutoka ramji,basi balu,halafu yeye.kawa discipline master
chemistry mi nilifundishwa na magembe...huuy baba yuko wapi?amenikuna haswa... nawatafuta thadei mkanzabi,nanga,paru,naila na rose nkyaa.. mko wapiiii???
kwani loyola sio shule ya kihindi we anon 2:28
ReplyDeleteNyie ma alumni wa Shebi Robi shule yenu imeshauwawa sikuhizi,waalimu wote wa kiTZ wameanza mbele kutokana na manyanyaso kukithiri naskia wanampango wa kufuata nyayo za Mzizima kutoa pepa za UK kwani ACSEE wamechemsha hawana walimu manyanyaso yamekithiri na kama mjuavyo siku hizi waalimu wa advance wenye uzoefu ni dili sana bongo tena hawakai mashuleni yani ni kama wacheza soka wa kibongo mwaka mmoja waweza ajiri walimu watatu tofauti kufundisha somo moja,kila anayekuja baada ya miezi miwili anajikataa zake
ReplyDeleteWow! Asante sana kwa picha Michuzi. SRSS shule kali bwana that's the truth! Kila nikienda bongo napitia and I'm proud that I studied at SRSS(1983-1986)
ReplyDeleteAsante sana kaka Michuzi,
ReplyDeleteWee Kamugisha ni muongo sana, vyoo vilikuwa super na tuliweza kuingia huku tunakula kacholi.
Duuu mmenikumbusha Bichwa korosho, Ndomomdo na wengineo. Mnamkumbuka mama Mngodo? Hivi bado yupo?
Nimefurahi sana kukumbuka SRSS. Selina mbwana, Irene Luhoyo, Joyce Kulwa, Rose Michael Lupiana na Happy okoth mko wapiii?
annon wa may 29,3.21,maghembe nasikia yuko almuntazir,rose yuko uni.of cape town.
ReplyDeleteNakumbuka sana mr.makoye,RIP sir.Ndomondo na kiboko chake kile ni soo.alafu kuna yule ticha anaitwa kabitulila..hehehe
jamani wana shaban robert mama mngodo amefariki jmosi iliyopita.Ndomondo bado yupo SRRS.
ReplyDeletewatoto wengi walio maliza hapo ni wa mama kwani wapo wengi tu mpaka leo tunawajua bado wanachechemea kinyumenyume.
ReplyDeleteyaani michuzi umekuna wadau wote wa shaaban robert, michuzi wewe ni kiboko, aisee hii shule ina bonge moja ya hall, kubwa sana na ni the best dar es salaam, asante michuzi sasa fanya mpango michuzi kukutanisha wadau wote wa shaaban robert, kufanya reunion, na wewe uwepo.
ReplyDeleteAnon 2.29Pm samahani huyu Abel Siwale amefariki lini???
ReplyDeleteWe anonymous wa hapo juu, unasema nyie ndio mmeanzisha kuvaa sketi za cream, wewe ulisoma mwaka gani SRSS? kwasababu sisi ndio tulianzisha mwaka 1985 kuvaa sketi za cream, hao uliowataja walikuwa chini yetu. waanzilishi ni mimi, wakina stella kisanji alikuwa g/friend wa Chris Jomalema, Amina Machano, Jessica Che-mponda, Sekou Toure, wakati huo wakina Frank Kallaghe, Togo Bavu na Suwesi Abdalla walikuwa form six. Wako wapi wakina Rose Maina, Betty Kubaga, Robin Monyo, Fanuel Ligati, Chande Chande, Juliet Magambo, Nawakumbuka Marehemu Jubilant Uisso RIP, Prodigunda Moshi RIP, NALIKUMBUKA Darasa la form IV S lilikuwa balaa, totoz kibao mmmh!!! wako wapi totoz za Form IV S 1988? wakina Stella, Betty, Juliet, Jessica, khadija, n.k
ReplyDeletedah huo mti haujamwagiwa maji toka shaaban robert ianzishwe 1977,na hilo joho jekundu sijui nani kalitundika labda Mr.Msechu aka chura
ReplyDeletemi nammiss Mr.Lukalinga na Mr.mwendi aka kajitako!
Abel Siwale, amekufa kama mwezi na nusu sasa,amefia bongo... mwana SRSS mnamkumbuka mwl.Sadayo!! ulikuwa ukikutana nae shati halija chomekewa chamoto utakiona... big up class of 91..
ReplyDelete1985-1988 , very proud to be one of the student katika shule hii.
ReplyDeleteForm iv k mpo? Mnakumbuka mwalimu wa english Mr Kasala?
Oh no! Mama Mngodo amefariki! So sad:( Well, Christina Ntalima, RIP, Armin Shauri, Joyce Shaban, Joy Nkulila, Gift Kyando, Peter Kapanga & Otieno mku wapi jamaani??
ReplyDeleteAsante kaka michuzi kwa kunikumbusha mbali sana.....kwakweli am proud to be a shaabanian japo cku nyingi zimepita...halla 2 all form six HGL 2000 clique....mko wapi?
ReplyDeleteDah jamani mumenikumbusha mbali kweli. Mnamkumbuka mwalimu Peter wa History? Mr Asanga alikuwa anafundisha Geography. Jamani mwalimu Mngodo, mungu ampumzishe mahali pema peponi, alikuwa anashuka kiswahili ile mbaya. Munamkumbuka mwalimu Aochi wa Kifaransa? Ule uwanja watu tulipiga magoti sana tena juani. Ms. Godinho bado yupo? Alumni wa 1993 mpo? akina Modu Gaye, Lillian Maina, Agripina Thomas, Sima Mukolera?
ReplyDeletePCB 1995-1996 Holla. Thanks man! A looooot of memories.
ReplyDeleteVi (DFW Babe)
michuzi it is an honour to be a part of this huge alumni of srss, na wengi wao wameonyesha kuendeleza ushirikiano popote walipokuwa baada ya shule, ndio ivyo alumni wa srss popote mlipo, big ups, lets make history tufanye mabadiliko makubwa sana, kwa wanafunzi tukianza na sisi wanashaabanian, kujumuisha na walimu wetu pia. wengine wamesomea uandishi tuanzeni kupublishe maswala yanayotuhusu srss, kuonyesha mfano kwa wanafunzi wengine tanzania.
ReplyDeleteKaka Michuzi, umenikumbusha mbali sana, wapo wapi vijana wa kjiachia 'Magore'(1999-2001)wakina Nicky Tenga, Majid Ghulam, Sulle Killo, Kenny, Mwesiga na Patricia? Bila kuwasahau wakina Montini, Lemmy, Titus, Lyamba na Chris Chagla......! Mnaikumbuka ile kengele kutoka India iliyoletwa na Mr. Thomas?
ReplyDeleteThanks Michuzi for the memories i m da class of 1996-1998 (PCB)and a member of Soul 4 Real"Talent Show" in 1995. Anywayz if pple want to meet their old friends, S.R.S.S wana FACEBOOK include pix's, longtime friends, n so on.
ReplyDeleteMuliomaliza O'level 1990 mupo?
ReplyDeleteEx-head boy hapa!!
ebwana dah! ebwana dah! ebwana dah!
ReplyDeleteumenikuna ile ile mtu wangu.....
shabby ni no,ma hamna anaye pinga...!
ukipitia pale kokote unaweza fit...
michuz unatuweka ju sana tulio mbali na home...
thanx man....big up!!!
i was there for A levelz, year 2005-6
name simon m
michuzi huna mpinzani unatukumbusha mbali sana miaka ile,kina mangomango wako wapi, kina evamaria, na wengine wa topaz, kipindi kile tunacheza mechi mbali mbali na shule zingine, michuzi umenikumbusha kina, ridhiwani, anhija, ceci, natasha na wengine wakati wa common wealth fashion show, yaani michuzi umekuna wadau, miaka ile kweli andy chande, ameiweka ile shule katika historia ya tanzania, na kwa shule zote za dar-es-salaam, memories hazitasahaukika, na mambo mengi parties, food evenings, michuzi ubarikiwe milele na milele fanya mpango basi, love you michuzi.
ReplyDeleteyaani michuzi u made my day, unatukumbusha mbali kaka michuzi, nimekumbuka wadau wote niliokua nao topaz, michuzi asante sana wadau wote mliowahi kua topaz miaka ile napeperusha salamu zangu popote mlipo, asante michuzi, long live.
ReplyDeleteNikiwa kama MDAU mzito wa BLOG kwa muda mrefu ,mZEE MISUPU Unanimpress mara kwa mara lakini leo ni kwa mara ya kwanza natoa maoni yangu YESSS mzee hii kali, nimefurahi sana kuona majority ya maoni ni positive kweli tulikula good taimu enzi zetu hapo SHAABAN ROBERT, so for that big up my class TOGO BAVU SUWESI, TARIQ BABU, ALL LOVELY GIRLS FROM OUR TIME, AND I DEDICATE THIS TO MY(OUR) BROTHER ANDREW"ANDYBOY"MDACHI.. NAAANDIKA KWA MSISIMKO MKUBWA SANA, KWA WOTE MNAOKUMBUKA THIS TIME BIG UP AND PLEASE RESPOND!! ALSO BIG UP KWA WATANI WETU WA JADI WA MZIZIMA JOE KUSAGA, PETER, WILLIUM (UPANGA KIJIWENI) NA WOTE WA HELENIC CLUG DISCO, NA MSASANI PICNICS...NIKISEMA ZAIDI WADAU WATAJUA NI NANI LOL I LAV U MUCH MR MICHUZI FOR THE MEMORY AND EVRYTHING ELSE (NIMEKUNUNULIA FULANAZZZZZ NAKUJA NAZO BONGO THIS JULY
ReplyDeletehalla to all A-level alumni 1997-2000 especially HGL HISTORY YA SILAS,GEOG MR MAKOYE(RIP),LANGUAGE MR NDIBALEMA(RIP)BILA KUSAHAU LITERATURE YA MR THOMAS NA MARKS ZAKE ZA NUMBER ZA VIATU.MAUJINGA DOTI COM MPO WAPI? MICHUZI UMENIKUMBUSHA MBALI SANA TEN YRS AGO.....
ReplyDeleteyaani michuzi umetutoa mbali wadau wa srss, sina comments michuzi zaidi ya asante tunakumbushana tulivyokua wanafunzi, michuzi am speechless.
ReplyDeleteyaani michuzi watu wanasupport maoni yote hapo juu, we srss hatuna mambo ya vurugu kuchokoza watu, kama baadhi ya wanafunzi wa mzizima ughaibuni sitaji majina, kufwata wenzao, sisi srss jadi yetu ni amani na upendo, na wahindi wa srss, sio kama wa mzizima, ukweli ndio huo, long live thoman methew, you did make us proud students, asante michuzi yaani umetukumbusha watu mbali, na wadau wanaungana na wewe, sina cha zaidi ila this is one huge alumni for life, shout out to all the srss, popote mlipo, god bless you all, and everything that you went through or, ur goin through, we are one alumni, and we stand together throuth thick and thin and that ir our motto, michuzi you are also in the tunk.
ReplyDeletenimesoam maoni ya mdau kuhusu hilo joho, umenichekesha kweli aka as chura, hao wote ni weird, aka brain teasers, stay away from them, that is the reality, asante michuzi.
ReplyDeletemichuzi wadau wote wa srss, wanasupport mawazo yote positive hapo juu, michuzi yaani umeniacha mbali sana, umetukumbusha enzi hizo wanafunzi mwaka 1997 mkapa alitufungulia hall letu, akatoa na hotuba kwa wanafunzi, lile hall tulifanyai exams humo humo na events kibao, long live srss alumni popote mlipo peace, love and harmony to all, shaabanians lets make changes kwa wanafunzi wote dar-es- salaama na tanzania nzima kuwa sisi hatuna mambo ya vurugu vurugu, we are all the same srss, alumni shout out to all the students from srss, lets make history one love to all srss, na wewe michuzi you are also in.
ReplyDeletemichuzi wadau hapa wanasema shout out to andy chande, for amaking us all proud students we are, popote alipo, salamu zimfikie.
ReplyDeleteyap...kwa anonymous, june 1, 8:53
ReplyDeletemaujinga . com tupo tunaendelea ku strive for excellence...siunajuwa ni motto wa Shaby Robby..umenikumbusha mbali sana..Ndibalema(RIP) alikuwa mwalimu poa sana.....Emma "Larger" uko wapi? Mwesi K? mama Saudia? Austine Makani?...mnapakumbuka Magore? thanx for the memories....
jamani hii mada haitaisha....coz kila nikiingia napata kishawishi cha kuandika ka komenti hata ka1...
ReplyDeleteleo nimemkumbuka mwalimu wenu kabitu....dah...ile ni kiboko...mzee anaongea kupita maelezo....ile ni dahwa wala sio dawa....yawezekana alikuwa mkoloni yule coz kaenda eji ile kinoma!!!
kuna wadau humu wamefanya blogi yetu iwe ya kuwatafutia wachumba..sasa wewe mdau uliye muulizia rose, anakuhusu nini? hata akiwa cape town bado tuu mnaye, mbona ali teja hamumuulizii....?
tukija kene choo...kweli shaby inaongoza kwa HARUFU....esp boys toilet, but i think its because of the fact that pipo eat too much chapati za mama lau pale kibandani and according to mama shao, amonia wastes are being filtered out of the boddy at a higher rate, according to magembe ammonia inanuka kama yai bovu...nduuuuguuu...eeehhheehehe he he...( kicheko cha kinafki cha baba yule mfupi )
na yule non. aliyeponda mzizima hana hela tu za kulipia pale...hata kama shule inajaa maji, huoni ni jambo la kushangaza ya kuwa in two dayz sakafu na mitaro mipya iliagizwa toka london uingereza na kuwekwa the next day? commemnt kuhusu hiyo...kama mie muongo muulizeni kamugisha,
jamani besha bado yupo mzizima? mwalimu yule...si lolote si chochote..... mikwara mingi ngeli yenyewe mgogoro....
kwaleo wadau...
kaka michuzi, thanx for putting us posted big up...
watuweka ju ile mbaya!
NAPENDEKEZA RE-UNION .JE HII MNAIONAJE WADAU?
ReplyDeleteFROM THE BOTTOM OF MY HEART,MICHUZI UMENIGUSA NA KUNIKUNA
ReplyDeleteSHOUT OUT TO MAMU DITO,NANCY,ESTA,RABINA,SALMA,SHAMSA, DELLY, MONICA, SAMYA, RAHMA, CHAMBI CHAMBI, ALAN & DAVIS, JAMES, MOHAMMED, MUHIDIN, NEEMA, ZUWENA AND ALL
YAANI CLASS OF 20006 IS BANGINGGG
SAPPHIRE MPOOOOOO? BEST HOUSE EVER!
AND ALL MY RUBY, EMERALD AND TOPAZ PEOPLE
LOVE- 'KISS'(U KNOOO MEEE YEYAAAA)
nimemiss mixi na kachori kwenye lile canteen la kihindi huku upande wa uwanja wa mpiraa... shabbaniians oyeeee!!
ReplyDeletemichuzi umeacha wadau speechless, yaani no comment sisi srss hatuna mambo ya kipuuzi unlike mzizima students ughaibuni, kufwatilia wenzao bila sababu, we srss, promote peace and harmony.
ReplyDeletewe annoy hapo juu topazzzzzzzzzzz, was the best yaani michuzi we can never stop talkin about srss...
ReplyDeletewahindi wa srss, sio kama wa mzizima baadhi ya wahindi, waarabu wa mzizima sio wa kuaminiwa, walanguzi watupu, nawakilisha michuzi unasaidia wadau kujadili mambo ya wanafunzi.
ReplyDeleteivi humu mbona kuna pumba na chekesha
ReplyDeleteanon mmoja kanikumbusha mr.kabichulilaa.. haha
halafu anon wengine acheni kuanika majina yetu kwenye blogu yani mtu unataja hadi majina ya pili,sio freshi bwana!
miss keys
wewe miss keys,ndio unaongea pumba WATU WANATAFUTA MARAFIKI ZAO WALIOPOTEANA HUMU,WEWE UNASEMA ETI TUSITAJE MAJINA. OMBA LAKO LISITAJWE,WAACHE WENGINE.
ReplyDeleteruby is best. where is the class of EGM 2001!?hivi GONDALIA bado yuko SRSS?mama alikua ananimind yule.i bet hatataka kuniona tena. big up michuzi kwa kuleta mambo kama haya!
by the way, mbona haieleweki hapa?kuna baadhi ya watu wanaisifia srss na kuikandia mzizima au vise vesa,ni nini jamani??au utani wa jadi?
ReplyDeleteila jamani michuzi usibanie this comment,rushwa ya srss ni mbaya sana,watu wananunua mapepa kuanzia ya midterm ya huko huko internal,mpaka ya TAIFA.. aisee srs nimevua kofia hadi chupi!... nimesoma hapo,najua ninachokiongea.
ReplyDeleteALL THE SUCCESFUL PEOPLE ARE A PRODUCT OF SHAABAN ROBERT SECONDARY SCHOOL(S.R.S.S)
ReplyDeleteMIFANO MICHACHE
T.I.D(MUSICIAN)
FINA MANGO(SINGER)
RICHA ADHIA(MISS TANZANIA)
ALBERT NYITI(MR. TANZANIA)
HELLEN DAUSEN(SUCCESFUL MODEL)
AYNE MAGOMBE(SUCCESFUL GOLF PLAYER)
CHRISTINE SIGALLA(MISS TABATA)
NA WENGINEO WENGI TU
LONG LIVEEEEEEEEEEEEEE!ebwana ndio
jamani nipo hapa na miss libeneke..yani raha tu...
ReplyDeletejamani nimerudi tena for another day..... for sure anon wa huko juu ameongea point, tutafute re union...tulio huku london tuandae letu...na tupate mapicha ya mikonnnnozzz...na wa india ivo ivo....wazalendo tusiwaache nyuma nao tujumuike nao pia at the same day same mommentz...mwaonaje hii?????
imetulia eeehh...jamani bila kuwasahau wa mzizima..nawao tuwaalike....msisahau ya kuwa bila mzizima shabby tunge ikompea na nani sasa?? na wengine tulipitia hukohuko...
enheee..tanze kurusha watu sasa,
daudi dick open uwapi? emanuel ringo vipi papa musoooopheeee.....
vipi mtu wangu sham wa loyola...sio kwamba nyie tumewaweka nnje ya mada...ni kwamba hatuja fikia huko...deo datus nkwabi... ali tejqa upo?
hata demu mmoja nisitaje...julieht vp mama, rosy upo wapi mama...zuhura je? bila kumsahau kul b...na edna,
# watosha bana kwaleo...tukutane next time,...
Msitusahau wakongwe wa SRSS enzi za '80 wakati wa "Break Dance" - Akina Togo, Aleck, Wilfred, John Rupia, Lutfi, Mh. Adam Malima na wengineo wengi - Je mpo wapi? Tuwasiliane and may be a reunion!!
ReplyDeleteSASA WEE ANONY WA JUNE 3RD 6.24, HAPO JUU ,UMETUTAJA MAJINA YETU NAKU PENDEKEZA RE UNION,!! SASA TUTAYARISHAJE BILA KUJUA WEWE NI NANI, IKIWA WATU WOTE MKO PROUD KUTOKA SRSS MBONA MNAJIFICHA? ,MNAMWOMBA MICHUZI AWATAARISHIE RE UNION , YEYE INMHUSU NINI? MBONA MNALETA UVIVU?NINI MAANA YA REUNION?IKIWA WATU MPO UKEREWE, INDIA NA NCHI TOFAUTI , JEE MTATAKA KUONANA KWENYE BLOGI? AMKENI AND BE REAL IKIWA KWELI BASI MMOJA ANAEJIAMINI AACHE EMAIL YAKE ILI MKUTANO UANZE!!
ReplyDeleteMMOJA YA WAKONGWE WALIOTAJWA HAPO JUU
haya JUNE 4 4:46 nimekupata,mie wa kwanza
ReplyDeleteFOR ALL SRSS PEOPLE IN UK,UP FOR A REUNION EMAIL ME ASAP:
mtotomahips@hotmail.co.uk
no jokers,no foolers