kundi la taifa la sarakasi liliporejea toka china kwa meli mwaka 1968. wengi wao walipewa kazi za mezani na kundi kusambaratika baada ya jaribio fupi la kufundisha fani hiyo mashuleni kupotelea kusikojulikana. juhudi hizo zingeendelezwa hadi leo tungekuwa mbali sana...we acha tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2008

    Duh walikuwa wajasiri kikweliii.

    Naomba angalu mmoja wao atuambie alipo na atpe contacts zake. Nitashukuru kwa hilo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2008

    Naam, 1983 - unaweza kuona namna y amasanduku - kulikuwa na Sumata miaka hiyo bodingi skuu ukiwa na hilo unachekwa na watu wote na wengi ndo yalikuwa yetu. Yalikuwa na kufuri na funguo lakini usalama wake labda uwe unaishi Makka. Suti za Chou En Lai - namna gani walivyojaribu kutuathiri kitamaduni miaka hiyo. Huyo bwana mwenye tenga ni landmark ya bandari toka zama hizo na huyo dada ananikumbusha fasheni za 70s and 80s. It is all there...

    By the way, nimeona Shaaban Robert, Kifungiro and others - could someone (Michuzi) please upload some Bwiru Boys and Girls old photos?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2008

    Hahaaa, kweli fashion zingine, naona jamaa wana suti kama Nyerere

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2008

    dah,ni mizigo ilikua mizito au ushamba wa enzi hizo..maana duuh!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2008

    Kuna anaejua majina ya hawa jamaa?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2008

    kweli bwana..nakumbuka enzi zile kila mtu alokuwa anaenda nje..hasa kwa nji marafiki kama china hizo suti ni muhimu sana

    suti zimenikumbusha mbali sana

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2008

    Hawa jamaa wantoka China au kigamboni? maana namuona mshikaji kabeba tenga alizojaza bidhaa ili aje kuuza mjini

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2008

    Huyo dada(Sasa bibi) kulia pembeni mwa polisi alikuwa analipa.Naomba contacts zake kama unazo issa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 29, 2008

    WATOWA MAONI WENGINE NI KWELI MAJUHA HIVI NYINYI MASIHA HAYA YA BONGO HAOWATU MNAFIKIRIA BADOWAPO KATIKA ULIMWENGU HUU

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 29, 2008

    wewe anon 4:51 USITUCHURIE HAPA, KWANINI UNAWAOMBEA WENZIO MaBAYA?ndio uchawi wenyewe huo

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 30, 2008

    Ina maana walisafiri toak uchina hadi tanganyika kwa meli????? aaaahh
    haya bwana au ndo mazoezi ya sarakasi?

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 31, 2008

    sio vizuri kuwachulia watu. huyo bwana hapo mbele baada ya kikundi cha taifa kuvunjika walianzisha kundi lao la BANTU ACROBATIC ambalo baadaye nalo lilikufa lakini katika miaka ya karibuni amewahi lucheza michezo kadhaa ya kuigiza kwenye runinga.
    Yule Bwana wa tano, yupo hapa mjini anafanya kazi kwenye ofisi moja ya wahindi mitaa ya Kisutu na mwingine kule nyuma zaidi ni Meneja wa hoteli moja ya kitalii mkoani Kigoma. kabla ya hapo alikuwa afisa utamaduni mkoani kigoma. wengine changieni....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...