hii ni bendi ya sweet kelele music productions inayotumbuiza hoteli ya moevenpick ikiwa imesheheni wakongwe kama vile mpiga bezi brian aimala mbuttu (shoto) na anko elidadi (kulia). ukiwakuta wanakupigia "knock knock on heaven's door" utasuuzika na roho yako. sweet kelele wanapatikana kwa email sweetkelele@qps-tz.com ama simu +255 784 700605

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2008

    Amani, Heshima na Upendo kwako Kaka.
    Kwani huyu mume wa Luiza si ni Fariala na Brian ni mtoto wao? Ama mimi ndiye ninayeyajua kinyumenyume? Ni jamaa mwema kwenye Bass guitar na namkubali saana hasa kwa nyimbo za copyright tangu enzi za The Kilimanjaro Connection ya kina Kanku Kelly? Nao wapo lakini?
    Blessings
    Ras Twin

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...