TAIFA STAAZ LEO IMESHINDA MABAO 2-0 DHIDI YA UGANDA CRANES KWENYE MCHUANO WAO WA KOMBE LA AFRIKA LA WACHEZAJI WANAOCHEZEA NYUMBANI UWANJA WA CCM KIRUMBA, MWANZA.
MCHEZO WA MARUDIANO UTAFANYIKA KAMPALA WIKI MBILI ZIJAZO AMA MEI 17, 2008.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2008

    Safi sana staaz.... magoli kafunga nani? na je, tukishafanikiwa kuwafunga Uganda inshallah ndo tumeshafuzu kuingia kwenye michuano hiyo ambayo kama ckosei yanafanyika IVORY-COAST?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2008

    Hongera starz, lakini kaka michuzi mbona siku hizi unatubania sana "Fulu kavareji" ya maanadalizi ya taifa starz. Kwa sababu picha hatuzipati sana kama ilivyokuwa wakati wa Safari ya Ghana. ujue tulikuwa tunafaidika sana hasa sisi tulio mbali na nyumbani Tanzania.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2008

    Pamoja na uzuri wa story hiyo, tupe magoli na wafungaji tafadhali.
    Jamaa zangu wa TFF hawana hela au ndo ukale?
    Ukiingia www.tfftanzania.com utakuwana na balaa hii hapa:

    Account for domain www.tfftanzania.com has been suspended

    Michuzi wasaidie jamaa zako.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2008

    Goooooooooog News!
    sasa Michuzi tupe wafungaji basi. Jerry Tegete kaziona nyavu?mtoto mbaya sana yule,anaelekea Ulaya lazima kama Tutaenda Ivory Coast. Maximo kiboko bwana,waosha vinywa kimyaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2008

    Michuzi Mie Pia Liverpoolfc, ila unaniangusha ingekuwa Man U,LiverpoolFc,Au Chelsea na wengineo tungeanza kuonesha ma picha na Maoni kibao. Tuwekee basi na timu yetu ya TAIFA STARZ, tufurahi tutoe maoni na Yanga Safari hii wamebahatisha Simba oye mbona timu zetu hatubishani yanga simba mie ikitoka Simba ni Pan African(Wazaramo) watoto wa Mtaa wa Swahili. Lete Picha hizo Pichuzi. Ya Ulaya Ulaya bwana. anza kuweka na clip za video.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2008

    katika kutizama mpira utotoni mwangu na kusikiliza naona Hussein Masha ndio alikuwa kinara wa tanzania. kama angekuwa ULAYA katika Age ya 21 basi angetisha na Salvatory Edward. nani starz kafunga jama.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2008

    okay...nimeshapata majibu ya maswali ya hapo juu kabisa.... HATA tukiwafunga UGANDA bado tuna mechi nyingine ambayo tutapigana na kati ya SUDAN ama RWANDA...tukishinda hii basi ndio tumeshafuzu kucheza kwenye michuano hii itakayofanyika IVORYCOAST (22 feb-8 march, 2009)... michuano itajumuisha timu 8 ikiwemo mwenyeji ivory coast... MUNGU IBARIKI TANZANIA...

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 03, 2008

    Kama bro.michu kabana habari ndio hiyo bbc.

    Tanzania boosted their chances of reaching the final qualifying round of African Nations Championship thanks to their 2-0 win over Uganda on Saturday.

    Goals from Emmanuel Gabriel and Shaaban Nditi in the first round, first leg game in Mwanza sealed secured the victory for the home side.

    Gabriel opened the scoring for the Taifa Stars on 12 minutes when he fired home a cross from Mrisho Ngasa.

    Tanzania doubled their lead on the hour mark through Nditi, who toe-poked the ball into the net after a goal-mouth scramble.

    The Cranes had their fair share in chances but the home goalkeeper kept them at bay with some good saves.

    The two sides will meet in the second leg in two weeks' time and the winner of the tie will qualify for the ultimate round.

    Also seeking a place in the final round are Botswana who beat Zambia 1-0 in their first round, first-leg game in Gaborone on Friday.

    The goal came five minutes before break when Zambian defender White Simwanza inadvertently put the ball in his own net.

    Libya and South Africa have qualified to the final round following the withdrawals of their opponents.

    The second leg matches has been scheduled for 16-18 May.

    Ivory Coast will host the maiden edition from the February next year.
    http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/7382265.stm

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...