mdau deo mushi wa daily news a-taun katuletea hii na anasema zikiwa zimebakia siku chache kabla ya mkutano mkubwa wa sullivan katika juma la kwanza la mwezi juni, vikundi kibao vya sanaa vimetia mguu mjini hapo kuwatumbuiza machalii kwa mshiko kidogo kama wanavyoonekana hawa wachekeshaji wa mitaani toka dar. kwa habari zaidi juu ya mkutano huo bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2008

    Mzee Deo Mushi, mambo ni aje hapo A-Town? Umeona jinsi Uru Seminari ilivyoapasua? Wapi Webo siku hizi? Nimefurahi kusikia kuwa upo hapo A-town nadhani TRUPA zitakukoma sasa. Take care.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...