Home
Unlabelled
ukumbi wa simba, aicc
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ukumbi umekuwa kama ule wa UN New York!!! Bwana Kaaya Mkurugenzi wa AICC hongera. Arusha Kweli Geneva ya Africa. Habu michu tupatie picha zaidi ya jiji hilo ambalo natamani kuishi baada ya ku-retire hapa Ukerewe!!!
ReplyDeleteUSHAURI WA BURE. Kwa wale walioishi sana ughaibuni wasichague Dar kama mahala pa kuishi baada ya kurudi nyumbani kwani hali ya hewa, uchafu, congestion..mhhh vitachangia kumalizia maisha yako mapema.
Arusha is really a paradise that whoever lives there should be blessed.
Kaka Picha zako zinatisha Angle Nzuri ya AICC By Malika DSJ Photo Department mnginilla@hotmail.com 0713 832310
ReplyDeletewewe anony wa 3:46 hebu acha kukandia miji tunayoishi kuwa huko ukerewe usijione umeshafika, kama unaishi arusha basi fanya kukaribisha watu na si kutoa kashfa eti dar uchafu, congestion we msafi!!?? au huko arusha hakuna uchafu? una uhakika kila sehemu ni pasafi!! na kitakachosababisha kumaliza maisha yako mapema unakijua mwenyewe
ReplyDeleteAnon wa 3:46 umesahau kutaja na jinsi watu wa Arusha wanavyo uana kwa risasi na mapanga wakatupata kwenye mashamba.
ReplyDeleteSASA WEWE ANON HAPO JUU UNAKASIRIKA NINI?KWANI DAR PASAFI?HAKUNA SEHEMU CHAFU BONGO KAMA DAR...NI KWELI KABISA,,KAKA KUSEMA MAISHA YA DAR YANAPUNGUZA MUDA WA KUISHI..
ReplyDeleteNgoja na mie nifagilie kwetu, ukitaka kuishi maisha ya raha nenda kaishi Dodoma bwana, maisha poa, hakuna shida ya makazi wala maji, vyote ni vya kumwaga na bei bwerere vere afodabo. Haya wajameni karibuni Dodoma makao makuu mje mle raha. Hata vumbi limepungua tumepanda miti imesadia! Hakuna watu kufanyiana unyama na ujambazi kama Arusha ambako unaogopa hata kukodi taxi au Dar. Vile vile hakuna foleni ya magari kama Dar ukitaka kwenda mahali basi safari unabidi uianze tangu jana ili ufike leo, au uianze safari ya kwenda kazini leo ili kesho uwahi kazini!
ReplyDeleteMichuzi Usinibanie. Hao wanao kataa kuwa Dar si chafu ni wagonjwa wa akili. Je wajua kuwa Dar ni mji wa tano kwa uchafu Duniani? Fanyeni investigation then ndo muanze kubishana. Mji mchafu kuliko hata choo cha walevi wa mnazi na gongo harufu mnaita jiji, poleni sana siku mtakayo-ona proper city mtasemaje.
ReplyDeleteukitoa AICC, Arusha hakunA kingine cha kuvutia bali nyumba za mbavu za mbwa zilizo mita chache kutoka mjini, ndo maana Rais Kikwete alifuta hadhi ya jiji kwa mji huo , hivi sasa ni manispaa ya Arusha na sio jiji la arusha.
ReplyDeletewewe nani alikwambia jk alifuta hadhi ya jiji la arusha,kwa taarifa yako jk hakuna sehemu anakufagilia kama arusha,ndo maana tangu aapishwe kuwa rais mapumziko mengi amekuwa arusha kuliko mkoa mwengine.na arusha ni jiji,na wilaya tatu ambazo ni arumeru mashariki,arumeru magharibi na arusha mjini,wilaya ya arusha mjini ndo manispaa yake inaitwa arusha municipal.na arusha now ni mkoa wa pili kwa hotel za kifahari katika africa mashariki na kati,baada ya nairobi ni arusha then zanzibar,dar 4 then kampala.arusha ndo kila kitu.hela yako tu.
ReplyDeleteSasa kweli nimekubali kwamba Ukumbi huo sasa una Hadhi ya Kimataifa!Nampongeza Rais Kikwete kwa hilo.Akifanya zuri lazima tumpongeze.Lakini akifanya Madudu atakumbana na Dhoruba ya Miyeyusho!Huyo ndugu yangu wa Majuu mbeba mabox hakukosea,Arusha ni pa zuri jamani,kimaisha,kwa hali ya Hewa kama Nairobi,kwa Matanuuuz ndiyo penyewe,na hata kwa uwekezaji na maendeleo ya mtu binafsi kibiashara na kivyovyote vile.Ningeushauri Uongozi wa AICC na kwa kushirikiana na serikali,kwamba ili kweli kuupa mji wetu wa Arusha hadhi ya Kimataifa kama Jiji la Mikutano ya Kimataifa na Jiji la Utalii wa hadhi ya Kimataifa,wafanye utaratibu chini juu ili kusudi Takwimu za Hali ya Hewa ya Jiji la Arusha ziwe zinakuwa posted katika Televisheni za Kimataifa kama CNN,BBC WORLD,SKYNEWS,CCTV,SABC,RT,DW,FR,na nyinginezo kama kielelezo cha hali ya hewa nchini Tanzania kila siku na kila wakati wa Taarifa zao za Habari.This is Extremely Important and should be executed immediately without delay.Ni aibu ilioje katika Taarifa zao za Habari ni Hali ya Hewa za Miji ya Nairobi,Kinshasa,Harare na Miji ya Afrika ya Kusini tu ndiyo itakayo tangazwa kama vile nchi ya Tanzania ni Marehemu,haipo duniani.Its costing us a lot in terms of lost World Public Image and Tourist Income Loss.So its time now to wake up,dear Bongolalas!Hali ya hewa ya Arusha kwa Tanzania itatosha,acheni Joto la Dar es salaam!Hakuna mtalii atakayekuja!
ReplyDeleteDawa ya jipu ni kulipasua. Naomba nieleze kuhusu UFISADI uliopo AICC. AICC wamepangisha majengo yao kwa UN na EAC na wanalipwa vizuri lakini hakuna matengenezo au upanuzi wa majengo na nyumba, Pesa zote zinaingia kwa mafisadi. Yale mahela yote wanayopata yanaenda wapi?.
ReplyDeletepamoja na ukarabati nadhani amesahau media centre yake haijatulia. hao wapiga picha hapo katikati wanatia kiwingu. inafaa wawekwe sehemu maalum pembeni badala ya kuji mix namna hiyo
ReplyDelete