Home
Unlabelled
wanasarakasi waliporejea toka china
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh walikuwa wajasiri kikweliii.
ReplyDeleteNaomba angalu mmoja wao atuambie alipo na atpe contacts zake. Nitashukuru kwa hilo.
Naam, 1983 - unaweza kuona namna y amasanduku - kulikuwa na Sumata miaka hiyo bodingi skuu ukiwa na hilo unachekwa na watu wote na wengi ndo yalikuwa yetu. Yalikuwa na kufuri na funguo lakini usalama wake labda uwe unaishi Makka. Suti za Chou En Lai - namna gani walivyojaribu kutuathiri kitamaduni miaka hiyo. Huyo bwana mwenye tenga ni landmark ya bandari toka zama hizo na huyo dada ananikumbusha fasheni za 70s and 80s. It is all there...
ReplyDeleteBy the way, nimeona Shaaban Robert, Kifungiro and others - could someone (Michuzi) please upload some Bwiru Boys and Girls old photos?
Hahaaa, kweli fashion zingine, naona jamaa wana suti kama Nyerere
ReplyDeletedah,ni mizigo ilikua mizito au ushamba wa enzi hizo..maana duuh!
ReplyDeleteKuna anaejua majina ya hawa jamaa?
ReplyDeletekweli bwana..nakumbuka enzi zile kila mtu alokuwa anaenda nje..hasa kwa nji marafiki kama china hizo suti ni muhimu sana
ReplyDeletesuti zimenikumbusha mbali sana
Hawa jamaa wantoka China au kigamboni? maana namuona mshikaji kabeba tenga alizojaza bidhaa ili aje kuuza mjini
ReplyDeleteHuyo dada(Sasa bibi) kulia pembeni mwa polisi alikuwa analipa.Naomba contacts zake kama unazo issa.
ReplyDeleteWATOWA MAONI WENGINE NI KWELI MAJUHA HIVI NYINYI MASIHA HAYA YA BONGO HAOWATU MNAFIKIRIA BADOWAPO KATIKA ULIMWENGU HUU
ReplyDeletewewe anon 4:51 USITUCHURIE HAPA, KWANINI UNAWAOMBEA WENZIO MaBAYA?ndio uchawi wenyewe huo
ReplyDeleteIna maana walisafiri toak uchina hadi tanganyika kwa meli????? aaaahh
ReplyDeletehaya bwana au ndo mazoezi ya sarakasi?
sio vizuri kuwachulia watu. huyo bwana hapo mbele baada ya kikundi cha taifa kuvunjika walianzisha kundi lao la BANTU ACROBATIC ambalo baadaye nalo lilikufa lakini katika miaka ya karibuni amewahi lucheza michezo kadhaa ya kuigiza kwenye runinga.
ReplyDeleteYule Bwana wa tano, yupo hapa mjini anafanya kazi kwenye ofisi moja ya wahindi mitaa ya Kisutu na mwingine kule nyuma zaidi ni Meneja wa hoteli moja ya kitalii mkoani Kigoma. kabla ya hapo alikuwa afisa utamaduni mkoani kigoma. wengine changieni....