Home
Unlabelled
dk. migiro na prof. mwakyusa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Acheni kuharibu kiswahili kw akuigiza uzungu. Hapo wanasalimiana au wameshikana mikono? Kusalimiana si wangetazamana? Mnataka kutudanganya kwamba kabla ya kusimama hapo hawauwa wamesalimiana? Ina maana kila mtu alitoka kwake ndo mara wakakutana hapo???
ReplyDeleteUkweli ni kwamba walikubaliana waende hapo kwenye hiyo nembo wakapige picha. Kwamba wanasalimiana hiyo ni siasa ya umaarufu tu kupiga pich ana huyo mama si mchezo Mwakyusa ameosha jina. mmmmmmhhh
Am proud of Dr. Asha-rose Migiro.
ReplyDeleteKeep going mama!!!You make Tanzania in the World's map. Pliz tell Mwakyusa wadeal na mafisadi wanaotuchafulia jina zuri la Tanzania.That Legisltive House you used to be in now watu wanatupiana mambo flani ya kishirikina pliz mama washauri wenzako...Wape picha ya Ulimwengu unavyokwenda labda watapunguza ifisadi. Watanzania wako hoi wakati wachache wanajinufaisha.Jamani ukiwa nje ya bongo ukiona wenzetu walivyoendelea then ukipiga picha ya home watu wachache wanavyokula pesa za walipa kodi badala ya kujenga nchi inauma sana.
All the best Dr. Asha-rose Migiro
Nakumbuka sana mambo ya huyu Profesa wetu pale TTCL,wadaau wa TTCL bado hatujamsahau,kina Wilbroad Slaa sijui wamemsahau mjomba huyu?
ReplyDeleteUngejuaje Mwakyusa kafika hadi New York Marekani?Nyinyi endeleeni kutibu Malaria kwa Aspirin za India,'sisi'bwana lazima tufanye medical check up kila mwezi nchini Marekani.We unafikiria watu wanamwaga Upupu hadi Bungeni mchezo?Acha bwana,nani alikwambia Duniani kuna usawa?Vidole vyote vya mkononi si vingekuwa na urefu sawa?Una mgeuza Mungu nanihii siyo?Zile mashine za kupimia Presha za Bongo haziaminiki,zinaingiza upepo ati!Tupoteze Kiongozi ati kwa kuogopa kutumia visenti,iweje!Hamkuridhika Tume si itaundwa,shida yako nini?Tume ikimaliza kazi yake inaundwa Tume ndogo yake kuichunguza upya ile Tume ya kwanza ilifuata Maadili?Eboooo....Konoooooz vipi mbona hunielewi wewe?
ReplyDelete