Home
Unlabelled
mhanga wa jengo lililoporomoka azikwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mimi nasikitishwa sana na nchi zetu huyokatutoka tena gafra sasa
ReplyDeleteyeye kama mwananchi wetu kampuni aliyokuwa anaitumikia inawajibika vipi??
third part kwa kila raia anaepata ajali tena kazini ukizingatia kunawatu waliofanya uzembe ktk mjengo huo!!!
naomba serikali iweke sheria hiyo kwani naamini kaacha watoto,wazazi na hata mke ambao walimtegemea yeye
poleni sana ndugu wa marehemu wote kazi ya MUNGU haina makosa!!
Sheria za kulinda third part zipo ila utekelezaji wake ndo shida. pamoja na kufiwa watu bado watataka wapewe kidogodogo.
ReplyDeletembona waombolezaji wachache? ila poleni na mungu ailaze roho ya marehemu peponi
familia inatakiwa kulipwa fidia na mwenye jengo ama kupitia bima ama pesa yake hivi vyote vikishindikana serikali inawajibika kuilipa fidia familia kwa sababu ni wajibu wa serikali kuhakikisha taratibu zinafuatwa, kama vile watu waliouliwa na magaidi NEW YORK NA LONDON SERIKALI ILIWALIPA FIDIA WALIOFIWA NA KUJERUIWA
ReplyDelete