emmanuel mongela, mmoja wa vijana wadogo waliokuwa wanajifunza kupiga ala za muziki kwenye darasa lililo ukumbi wa jumba la utamaduni la watu wa korea kionesha ufundi wake mbele ya kadamnasi kwa kupiga kinanda enzi hizo. siku hizi mafunzo kama haya yanapatikana kwenye chuo cha baraza la sanaa shariff shamba ambapo mwalimu ni 'soul makossa juma' ubao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2008

    juma ubao ni yule jamaa alievuma na mtindo wa "kumbukisa inajipa" na au ni yule aliepiga wimbo wenye maneno yasemayo "magenge mengine mabaya watu wanapokusanyika....."kama ni huyo huyu jamaa alikuwa kiboko enzi ya biashara jazz wana dundunda

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2008

    michu mwaka gani hiyo?na wapi hapo?huyo ema ni mtoto wa getudre au?ni hivyo tu. asante

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...