mchungaji jesse jackson leo kavamia banda la daily news na habari leo kwenye maonesho ya sullivan na kufurahishwa na hazina kubwa ya picha za kumbukumbu zikiwamo zake yeye na na za mastaa wengine wa marekani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2008

    ooh daamn their club bou to close in a minute,cani get your number baby so i can get on with you innit

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2008

    Ebwana kamasikosei huyo jamaa alisha gombea urais Marekani, kwahiyo jueni mko namtu mzito, ingawa alinyimwa kwasababu ni mtu mweusi, sasahivi nimmoja kati ya wapigania haki za watu weusi marekani. Napia ali mu endorse Obama.Pia nimtu anae heshimika sana Marekani especially among the blacks.

    Kwahiyo Mr Michuzi Hapo kwenye Banda lenu mlikua na Mtu Mzito sana.(Jesse Jackson)

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2008

    mimi nimefurahishwa kabisa na hao mademu wa kwenye hilo banda. kweli wanavutia. misupu toa namba zao basi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2008

    Anon wa June 03, 2008 9:27 PM, yafaa ufanye homework yako vizuri kuhusu "demeanor" ya huyo M-Marekani Mweusi unayempigia debe!

    Pengine tusiwachanganye: Baba na mtoto wake ambaye ni Mbunge!

    Jesse Jackson na Andrew Young -aliyelipwa na Addidas kwenda ku-review exploitation ya wafanyakazi wa makampuni ya ushonaji wa bidhaa za Addidas huko Mashariki ya Mbali na kupendekeza kuwa hakuna unyonyaji - na ma-New Yorker Democrat "stalwarts" wakina Charles Rangel, David Dinkins, Percy Sutton, na kadhalika, wenye kumlilia Bill Clinton kuwa ni Rais wa Kwanza "Mweusi" wameonekana kuunga mkono yaliyopitwa na wakati!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2008

    Namuona shemeji langu la nguvu hapo, Fede. Big up sana.
    Wazo la kuweka picha tupu za zamani na si maelezo mengi lilitoka kwa a very creative mind.
    Hongereni, Photos zinasema mengi sana kuliko maandishi.
    No one can beat you in that department I know, ni kama Radio tanzania na miziki ya zamani.
    Usipige picha tu watu maarufu sasa, piga na wale potential kwani baadae wadogo zako nao watajivunia hazina uliyowaachia.
    Kwa picha nakuheshimu, na ni kutoka miaka miaka mingi sana iliopita.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2008

    Hivi hamukupata picha za babu zao wakipandishwa kwenye merikebu kama watumwa???? hata bagamoyo nadhani zingewakumbusha kwamba huku ndio kwao kabisa na hao wanaowaona ni wajomba zao!!!

    G7
    UK

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2008

    historia inasema watumwa wa afrika mashariki walienda uarabuni, walihasiwa kwa asilimia kubwa ndio sababu uzazi umeishia, watumwa walioenda Americas walitoka west afrika, ndio hao unaowaona huko.
    Wengi wao wanatamani sana wangetokea huku au afrika kusini lakini ndio hivyo tena ndugu zao ni kina obasanjo.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 05, 2008

    Bagamoyo na Zanzibar ndiyo yaliokuwa masoko makubwa sana ya biashara ya watumwa enzi hizo nguvu kazi ikihitajika katika mashamba ya marekani,na idadi kubwa ya watumwa kutoka pwani ya afrika ya mashariki pia ilijikuta ikikokotwa kuelekea Marekani!Kwa hiyo siyo kweli kwamba watumwa waliopelekwa Marekani walitokea Pwani ya Afrika ya Magharibi tu peke yake.Affinity iliyopo kati ya Wamarekani Weusi na Watanzania au watu wa afrika ya mashariki ni kubwa sana ikilinganishwa na affinity iliyopo baina yao na waafrika wa afrika ya magharibi.Yapo mengi ya kuthibitisha hayo.Kama ambavyo yeye mwenyewe Andrew Young ambaye hivi sasa amesilimishwa kuwa MZEE WA KIMASAI kwa jina Legum Andrew Ole Young kwamba Asili ya Watu wote Duniani na siyo watu weusi tu ni kutoka katika BONDE LA UFA LA AFRIKA YA MASHARIKI!Kisha wakasambaa sehemu zote na kuoleana.Jesse Jackson wakati wa Ujana wake alikuwa mzungumzaji mzuri mwenye kipaji kikubwa kuliko hata Barak Obama alivyo hivi sasa.Mafanikio mengi ya Obama yametokana na Inspiration Ya Rev.Jesse Jackson,one of the greatest sons of African Descent!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...