jk akiwa na mcheza sinema mchekeshaji chris tucker na mchungaji jesse jackson baada ya kufungua rasmi mkutano wa nane wa sullivana ukumbi wa aicc usiku kuamkia leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2008

    hONGERA KIKWETE TAI YAKO INAFANANA NA HAO WAMERIKANI HAPO KULIA. NGOJA NIKUFAGILIE KGB BRO.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2008

    Mbona kama jamaa hana taimu na bosi wetu? au kamera tu ilidelay mkono walishapeana? Maana hapo naona Jese ndiye anaongea na Taka sio presidaaa au macho yangu jamani!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2008

    Tucker anasema " du kumbe mafisadi huku hawachukuliwi hatua?naomba nihamie huku mheshimiwa "

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2008

    hapo inaonekana Taka alikuwa anaelezea kitu manake hata jese anamuangalia yeye..
    na Taka..anaangalia pembeeni.. hamuangalii jesse wala JK.. so sio kwamba hana taimu na Bosi wetu.. ni vile tu alikuwa anatoak kichekeshao kwa upande wa kushoto..Teheheteeh

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2008

    Waamerika wenye asili ya Afrika wanapenda sana ku-rub shoulders na marais wetu kirahisi! Ndio inayowapeleka kwenye mikutano!

    Pili, walikuwa wnalalamika kuwa marais wetu wanawaacha mtaani kwa kufanya biashara na wazungu tu. Kwahiyo, wakapendekeza kujipenyeza ki-Sullivan ili nao wale keki ya Afrika, kama wazungu walimbikizaji!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 03, 2008

    Ukiangalia picha kwa makini hasa mikono utaona kuwa Chriss anaongea na Jesse, na JK anaongea na mtu mwingine na hayuko kwenye mazungumzo kati ya Chriss na Jesse, ila ameshikana/anasalimiana kwa mikono na mtu mwingine pembeni ya Chriss

    Mdau- Amsterdam

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2008

    wewe mdau wa Amsterdam unaangalia na m'K wako nini?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 04, 2008

    we anon june 04, 2008 3:17 am. nahisi ndio unamakengeza.

    madau-amsterdam amesema angalia mikono ya JK, ni kweli JK ameshikana mkono na jamaa ambaye amezibwa na Chriss.

    Nahisi umekurupuka tu!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2008

    The Pride of Africa:Jesse Jackson,Chris Tucker,Kikwete and not in the pic ofcourse Andrew Young,Olusegun Obasanjo and the entire Sullivan Family!Tanzania is your HomeLand,welcome back to Africa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...