mkuu wangu salama?
na mie nimewahi kuchukuwa snepu na giant moja hapa Dubai Dragon martnaskia. inasemekana ndo jitu la miraba minne kubwa kuliko yote yaliyo hai duniani hebu wadau tusaidieni
mdau v. nyerere

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2008

    wow! huyo naye ni mrefu sana. Lakini mrefu kuliko wote ni mchina anaitwa Bao Xishun yeye ni 7ft 9inches na ninavyosikia anapelekwa USA soon kufanyiwa operation ya tumour kwa vile yeye bado anakua tu kidogdogo na ni mtu mzima sana..

    Duh sijui maisha yao niaje

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2008

    pepe kalle alikuwa je?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2008

    Mtu mrefu kuliko wote aanayeishi ni myukrainian 37-year-old
    Leonid Stadnyk ana urefu 2.57m (8ft 5in)

    Anayeshika record na kafa ni
    Robert Pershing Wadlow (1918 - 1940) alikuwa na urefu wa 8' 11.1" (272 cm) na 490 pounds(222.26kg

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2008

    Wote hao chamtoto, kiboko yao ni great Hali wa WWE akifuatiwa na UMAGA.
    J4

    ReplyDelete
  5. mi ninavyoona hiyo picha..we braza uliyetuma kimo chako ndio sio kirefu.Kitu kinachopelekea huyo dogo kuonekana kama giant.

    ReplyDelete
  6. Mtu mfupi na mwenye mashavu kuliko wote kwenye suilivan summit ni M.I.michuzi

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2008

    Mdau V.Nyerere ungesema huyo ndie
    mtu wa miraba minne uliyepata kumuona lakini kiukweli huyo ni cha mtoto wapo wengi kuliko huyo,huyo dogo hamshindi mcheza mieleka wa WWE great Ali. halafu tutafautishe baina ya kuwa mrefu na kuwa miraba minne. kuwa miraba minne ni kuwa mrefu na umbo kubwa na kuna wengine si miraba minne bali ni warefu kama stadnyk kutoka ukrain ambaye ndie anasadikika kuwa ni mrefu kuliko wote duniani na mchina Bao xishun.
    mdau Paka la jikoni-UK

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 05, 2008

    Huyo akikufumania lazima ulie.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2008

    hashim thabeet mmemwacha wapi nyie???

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 05, 2008

    duh hilo dude mwanangu si la kawaida,nadhani full msosi

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 05, 2008

    we v nyerere huyo mrefu kwa uarabuni usituzingue..huyo kawashinda waarabu tu wamekomaa kwa kula halua na tende

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 05, 2008

    hii njemba haina tafauti na great kali wa www

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 06, 2008

    We Salim umenichekesha sana, and thats the Truth, asante too funny.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 06, 2008

    Lakini huyo jamaa tall mbona anafanana sana na Great Kalii!! Inawezekana ni ndugu yake.Hata urefu inaonekana wako sawa

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 06, 2008

    Lakini huyo jamaa tall mbona anafanana sana na Great Kalii!! Inawezekana ni ndugu yake.Hata urefu inaonekana wako sawa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...