bi gemma enolengila (shoto) wa oretiti cultural discovery akipozi na ndito wa kimasai ambaye ameshamaliza kidatu cha sita katika shule maalumu ya watoto wa wachungaji wa kimasai wa kituo cha emusoi kilomita chache toka a-taun. wakati bi gemma ni mmoja wa watasha wachache wanaoishi na wamasai kwa miaka kadhaa kiasi cha kuweza kuongea lugha yao kwa ufasaha, huyu ndito ni mmoja wa wasichana wa kimasai waliofaidika na mpango wa kusomesha watoto wa wachungaji wa kimasai. hivi sasa anasaka mfadhili wa kugharamia elimu yake ya chuo kikuu

Anasaka wafadhili????!!!!
ReplyDeleteMaanake hakufaulu vya kutosha kujiunga kwa utaratibu wa kawaida au anataka ufadhili wa kusoma nje ya nchi?
Yero, ang'alia ile-namesa-mwensake isikutibullie flow ya shule, hamkawii nyie :)
ReplyDeleteunasaka wafadhili makubwa na huyo hapo ndito pembeni yako simfadhili tosha.
ReplyDeletesweet,
Arusha.
Beautifull Flowers,the creation of God!
ReplyDeletewafadhili kwenye mkutano wa mablack america.....Mbona amechemsha?
ReplyDeleteyaaaaaaaaaaaaaaaaani kigoli au mwali wakimasai si ndio maana ya NDITO au?
ReplyDelete