Home
Unlabelled
jk akiduarika na wageni wake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
yaani kabisaaaaaa?...
ReplyDeleteHaya, sullivan imekwisha. Tuelezwe Tanzania kama nchi imenufaika kivipi na lishughuli hili.
ReplyDeleteBaada ya maelezo hayo tuelezwe kama isingekuwa vema pesa iliyotumika Sullivan ingetumika kuwanunulia gloves wahudumu wa hospitali ya mwananyamala ili waokoe vifo vingi vya wajawazito wanaopoteza maisha yao kwa kukosa gloves... Ebu tuelezwe.
anon hapo juu.
ReplyDeletemkutano wa sullivan umechangia kwa kiasi kikubwa kubadilishana mawazo kati ya waafrika na wenzao waafrika weusi wa marekani.Weusi wametoka katika nyanja mbalimbali ambazo kwa kifupi ni macelebrity!ujio wao pia umefunua mwamko sekta za uwekezaji katika miundombinu,utalii na uwezeshaji wa kutumia rasilimali tulizonazo kwa wazawa wenyewe.
kwa hiyo mchango uliotokana na sullivan ni mkubwa na in long run utasaidia kununua gloves za hospital.ni aibu sasa tukianza kuomba hata glovu kwa nini wewe mwenyewe usianze kwa kutoa glovu halafu umuombe mwekezaji anunue mashine za scanners etc?
mkutano umefungua macho ya wamarekani weusi wengi na wadau mbalimbali wa utalii ambao hawakuijua nchi yetu kama inaexist!hawakujua kama mlima kilimanjaro kama uko kwetu!siku zote walijua mlima uko kenya kutokana na wao jirani kutangaza vivutio vyetu kana kwamba ni vya kwao!ni mlolongo wa mambo mengi tumejifunza lakini kubwa zaidi ni vyema sasa tufanye kweli kujenga nchi yetu.tuboreshe maisha ikiwezekana tujitolee kama suala la gloves au chandalua tusisubiri bush aje au sullivan!
nzehe
Annon wa Tarehe June 06, 2008 11:09 PM
ReplyDeleteKwahiyo unataka kutuambia kwamba na hawa wamarekani weusi nao wanahitaji kuandaa li-sullivan uko kwao america ili kuwaosha macho viongozi wetu kua Barabara za Dar - Mbeya, Dar - Arusha ama Morogoro - Dodoma hazikupaswa kujengwa kama "Farm Roads"
Gloves 100 zinakaa kwenye paketi moja zinakost kama elfu 5 tshs hivi kwa bei kuwa imepanda sasa, nakumbuka zamani nilikuwa nanunua kwa elfu 3, hizo nazo mpaka Sullivan walete? Au Manispaa ya Kinondoni inakosa pesa za kununua gloves kwa ajili ya hospitali zake au uzembe tuu?
ReplyDeleteOver 200 middle class entrepreneurs who took part in the Sullivan Trade exhibitions at the Nane Nane grounds at Themi have complained of being abandoned and neglected by the government for its failure to mobilise Summit delegates to visit the fair grounds.
ReplyDeleteThey expressed their disappointment to the Ngorongoro Member of Parliament Sening`o ole Telele who visited the fair ground to assess how the Sullivan Summit has impacted on the middle class business entrepreneurs.
They complained that neither the Summit delegates, nor the local Arusha officials had visited the fair grounds since they set up on May 28, saying that not a single person had visited the exhibitions which were mainly targetted at the Summit delegates from the US.
`No one has visited our exhibitions because our government and the organisers of the summit did not mobilise the delegates to visit us,`` they said, adding: ``some of us are staying in guest houses and now we have run out of cashin fact some of us have already been evicted for not paying the rent most of us have exhausted our funds?,`` one of the exhibitors said.
The entrepreneurs said they suspected sabotage by the summit organisers for ignoring them because they failed to understand why the organisers could take the delegates to a huge shop selling wood carvings but could not take them to the exhibition grounds nearby.
One business lady who identified herself as Annastazia John from Mara Region said that some of them had borrowed money in order to buy items for the exhibilition, hoping that they could sell the same during and after the exhibition, but now their hopes have been shattered.
``We now have no fare to take us home, we can not even take regular meals and we do not know how we are going to pay back our loans.
They suggested that the government should refund their transport, boarding and lodging expenses including the money they used in hiring the exhibition pavilions, because they incurred huge losses in setting up the exhibition.
Another business lady from Zanzibar, Mariam Suleiman, said some government officials and organisers of the Summit had visited them in Zanzibar and urged them to take part in the exhibition, telling them to take with them many items because there would be a large market, but she was surprised that not a single delegate visited them.
In another development, food vendors, otherwise known as `mama lishe` had been throwing away their food because of lack of customers.
The Themi exhibitions had been organised by the Tanzania Chamber of Commerce Industries and Agriculture (TCCIA), Small Industries Organisation (SIDO) and Tanzania Agricultural Sector Organisation (TASO)
TCCIA chairman, James Kangalu, said the entrepreneurs had paid between 100,000/- and 150,000/- and some Kenyans had paid USD4,000 at the AICC who were accommodated at Themi after missing space at the AICC.
TASO Chairman Samwel Urassa said they were making arrangements to see President Kikwete to find solution to the problem.
SOURCE: Guardian
Comment on this article
Sullivan Sullivan sidhani kama kuna lolote hapo. Eti wawekezaji? Wao wana mahali pa kukopa hizo hela za kuja kuwekeza kwenu? Kwa taarifa yako kila muwekezaji anataka arudishe mkopo na kupata faida. Sasa kwa nini wewe usiwe muwekezaji unamsubiri Chris Tucker na James Sinclair?! Akili ni mali.
ReplyDeletekweli tanzania bado mambumbu wengi,alafu unasema akili ni mali,kama mali usingeongea utumbo hapo juu,unadhani hela anayoweza kukopeshwa cris tucker na wewe unaweza kukopeshwa,kwa kigezo gani,mikopo inaenda kwa vigezo,ingekuwa ni kama unavyodhani wewe kila mtanzania angekuwa na grofa kariakoo,si kwenda tu kukopa unajenga then unaanza kurudisha,na wamarekani weusi wanazo pesa na hawajui la kufanya,thats why sulliian inawafungua macho,kwa sababu hata wataliano zamani walikuwa kama wamarekani weusi,kuvaa suti za dola elfu 18,kiatu dola elfu600,walivyojanjaruka tu wakaacha huo ujinga,yuko mwimbaji wa cash money miloner anaitwa baby ni mweusi yeye ameweka meno ya daimond ya dola laki moja.ndo maana sulivian inataka kuwaamsha,waloshiriki ulemkutano ni washauri wa mastaa weusi wa marekani,hata kama hawajaja kuinvest still watawamsha waje kutalii nchi yetu,maana holiday zaozote brazil na dubai.now wameijua east africa na ndo aden ya africa.kila kitu kiko east.na tanzania kwa asilimia 70.wanaotaka matokeo ya mkutano yaonekane baada ya 2day ni wavivu wa kufikiri.tanzania now tourism ndo inaongoza kwa kuingiza taifa pato la nguvu.na wamarekani ndo nchi inaongoza kuleta wageni wengi wao wakiwa wazungu wa middle class,ullivan ilikuwa muhimu sana tu kwa tanzania.kila kitu kina weekness,so kama kuna matatizo kidogo yametokea si ajabu.mbona wenye magazeti wahajaandika wenye hotel na gesti arusa wamefaidika mara dufu.mabasi makubwa kama dar express na kilimanjaro na scandanavia walikodiwa.ndege zilikuwa zimejaa.migawa yoe arusha,tax zimetoka hadi moshi kuja kuweka kambi na zimepata faida.tuache siasa nyingi,maana siku hizi kila kitu siasa,hii ndo iliyoiharibu zanzibar kuanzia hisbu na afrohiraz mpaka now ccm na cuf.mwai kibaki alivyomtoa moi wakaacha kuongoza nchi ikawa siasa nyingi ndo maana mwisho wakageukana wenyewe kwa wenyewe.kitu kama kinafaida tuna sema na kama ufisadi pia tunasema ndo nchi itasonga mbele.sio siasa nyingi.
ReplyDeleteJamani Sullivan results zake ni long term, huyu anayefikiria gloves namuonea huruma ingawa huruma zaidi nazionea hizo serikali za mikoa yetu. Hapa Arusha pamebadilika sababu ya Sullivan kuanzia usafi mpaka taa za barabarani, hii watu kuvaa hi-viz na kuwepo barabarani wakifanya usafi nilikuwa naiona kule mitaa ya London lakini ndio hali iliyokuwepo hapa Arusha kipindi cha Sullivan sasa sijui wataendelea au ndio mwisho. Jamaani kwa vi-resourse tulivyonavyo tunaweza pia, TUBADILIKEEEEEEEEEEE.
ReplyDeleteDah hapo naona 'bodigadi' nae inabidi asakate rhumba wakati mkuu akisakata mmmmmh
Ha ha ha,
ReplyDeleteWatanzania wenzangu nawaonea huruma. Hivi mnaposema results za hii kitu ni long term ngoja niwaulize itu kimoja. Hivi tumeshasahau issue ya spidi gavana kwenye magari.. Ni nani anayeifatilia sasa hivi? Hivi tunasahau kwamba sisi ni wazembe katika sustainability? Hivyo vijivazi wanavyovaa waosha barabara vikichakaa ndio imetoka. Wait and see...
Mi namwunga mkono mchangiaji wa juu kuhusu glovu za hospitali kwamba ni bora serikali ingewekeza katika mambo yanayowa-benefit raia wake moja kwa moja kuliko katika mambo ya kujiongezea ujiko usio na maana yoyote, bali kuongeza gharama zenye kuepukika kwa taifa.
Chris Tucker alijijia vacation... He will never invest in TZ hata siku moja. Kuna kitu gani kitakachomvutia ku-invest wakati baba lao (Obasanjo) alishawamwagia lazi wahudhuriaji kua bara letu limejaaa mafisadi? Sullivan was just a JINX.. Nothing is gonna come out of it.. That's my say.
the song is called GEORGINA what is bloody hell wrong with this blog.stop dipricting and undermining the spelling rights!
ReplyDeleteWhat a Historic Meeting!Imagine Africans who had been forced out of Africa by Institutionalised Slavery Hundreds of Years ago now infreedom sharing the GRIEF AND THE PAINFULL PAST with their Ancestors illuminating over the agonising past trying to trace their Roots for the sake of Generations to come and of a better and more emancipated Africa,imagine such an illustrious and glorious event taking place in Arusha Tanzania at the very moment when Barack Obama,the first ever US Democratic Presidential Nominee of African Origin to ever win the Presidential Primaries and becoming a likely candidate to win the next US Presidential Elections in November 2008!This has never happened before in all the previous Sullivan Summits held in other African Capitals!Arusha scored the First!What a feat to be proud of!Watanzania tusiangalie sana kuhusu 'Tangible Results'za Sullivan Summit.Zitakuja polepole.Hata wao pia itawalazimu wakaji reorganise.Walioyakuta huku sivyo walivyo tarajia.Sasa wamepata picha halisi zaidi kuhusu matatizo yetu,chanzo chake na jinsi ya kukabiliana nayo.Wenzetu wanaishi katika ulimwengu ulioendelea zaidi.Lakini tusisahau kwamba hata wao ni wenzetu kama sisi wenye kipato cha wastani kwa kigezo cha Marekani.Tofauti kubwa ni kwamba wao wamepata elimu bora zaidi kuliko sisi na wana ujasiriamali mkubwa zaidi kuliko sisi.Kwa hiyo watatusaidia katika mambo mengi.Wala tusibeze.Sullivan Summit itakuwa ikizunguka katika nchi mbalimbali za Afrika.Hapa kwetu ilikuwa ni ya Nane kufanyika.Hili peke yake siyo jambo dogo.Sullivan Summit pia itakuwa kiungo na kichocheo kikubwa sana miongoni mwa nchi mbalimbali za Bara la Afrika mbali na Umoja wetu wenyewe wa AU.LAKINI pia Sullivan Summit itawaunganisha Wamarekani wenye asili ya bara la Afrika na Waafrika wenyewe katika Bara la Afrika na wengine wote waishio katika nchi zingine ulimwenguni.Lakini pia itawaunganisha Waafrika na Marafiki zao wote popote duniani.Hilo nalo lina manufaa katika mambo mengi.La ziada pia,kile kitendo tu cha Wamarekani wenye asili ya Afrika kuiweka Afrika katika Mawazo yao na Mioyo yao katika raha na shida zao za kila siku 'Siyo jambo dogo hata kidogo'.Wameonesha mapenzi ya dhati kwamba wanajali na wangependa kuliona bara lao la asili,bara la Afrika likibadilika na kusonga mbele kimaendeleo.Hii ndiyo dhima nzima ya motto wa Sullivan na Wamarekani wote wenye asili ya Afrika.Wakija huku wanakuja kwao walikotoka Mababu zao.Hawaji huku kama Watalii kama wengi wetu tunavyo wachukulia.Tungekuwa na uwezo na utajiri mkubwa zaidi walipaswa wakija na watakapo ondoka kurudi Marekani warudi huko huku wakiwa wamesheheni 'ZAWADI NYINGI NA NONO' walizopewa na sisi ndugu zao ambao tumekuwa tukiishi katika nchi 'HURU' tukijitawala sisi wenyewe kwa kipindi kirefu sasa.Wao walipaswa waombe zawadi kutoka kwetu wapeleke makwao kwa wenzao.Lakini siyo sisi Mababu Zao tuombe kutoka kwao tukielewa wazi aina ya maisha wanayo yaishi huko 'Ugenini'.Hili linaweza kuonekana zaidi kama 'Theory' na siyo ukweli halisi kiutendaji.Lakini ndiyo msingi wa ukweli wenyewe.Kwa hiyo kwa wale watakao hoji,Je, Watanzania tumenufaika na nini kutokana na ujio wa Sullivan Summit katika nchi yetu?Wayatafute majibu ya maswali hayo kwa upana huo wa maelezo nilioyatoa hapa kwa kifupi tu.Sisi tuwe wa kwanza kuwasumbua wao kwa kuwakumbusha kila mara na kwa kuitisha makongamano ya kila mara.Tusisubiri wao ndiyo watuletee ndipo tusherehekee.Yapo mengi ya kujifunza.Tuwaone wao kama Chachu ya Mabadiliko na Maendeleo yetu.Lakini siyo kama Watumishi na Vijakazi wetu wa kutuletea maendeleo nchini kwetu.
ReplyDeletenashangaa mtu unasema waafrika weusi wamarekani ,what does it mean? siyo kuwa kila mweusi ni mwafrica..no no..
ReplyDelete