Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2008

    Masoud, umenifanya nivae miwani kuhakikisha nnachokiona katikati ya mapaja ya hicho kipanya...!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2008

    Kipanya, baba yako hajawahi kuwa waziri mkuu na mshahara wa elfu 40 alishauzoea kwa hiyo punguza kuchonga!!!Kila mtu anameza usawa wa koo lake, la babako lilikuwa dogo!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2008

    kp kp fanya kazi baba!!nakuaminia...lakini mbona katuni leo sijaielewa ??

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2008

    Babako kipanya ni mvivu hawezi kufikiri wala kushika jembe kulima kujiongezea kipato. Akila wali asubuhi na mchana maharage kwenye msiba yuko ok atahangaika lini kulimaaaa?

    Lime Fredooo wetu kwanza ndio professional yako uwaziri mkuu walikosea na sasa umerudi home kwenye fani.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2008

    JK ni mpangaji hodari wa majambo yake. Keshapanga kuleta kiwanda cha kusindika matunda sijui huko Chalinze au Mlansizi ili mananasi yake yasindikwe vizuri!

    Mipango ya kujenga Bandari ya Pangani kwa "cruise ships" na kuunganisha utalii wa majini na mbuga zetu za Pangani National Park karibu zinakamilika!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2008

    KP huyo pm wa zamani anaonekana anazuga tu na kulima na kufuga. haiwezekani kuwa che nkapa alikuwa anabugia peke yake bila kumpasia yeye tonge.ngoja za mwizi ni arobaini tutaanza kukimbiana!!.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2008

    La Kuvunda Halina Ubani.Nobody should judge a Book by its Covers.Walikuwa Madarakani,tukawaamini,wakatutenda walivyotutenda!Matokeo yake ni haya yanayo mhangaisha Kikwete hivi sasa.Sawa na kumpigia Mbuzi Gitaa.Kula ugali wako ukalale,usije amsha nyuki waliolala.Alamsiki!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 04, 2008

    TUNAJUA MALI ALIZONAZO NA JINSI ALIVYOZIPATA. TIME WILL TELL... HIYO KULIMA NI DANGANYA TOTO WAKATI ANA MAJUMBA MAKUBWA AMBAYO NI VITEGA UCHUMI PALE ARUSHA YALIYOPATIKANA KWA UFISADI

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 04, 2008

    wakati wa kampeni za uraisi sumaye alitaja nyumba na kiwanja alichonacho arusha. akaongeza kwamba anayeijua mali zake zaidi ya alizotaja akazitwae.

    watanzania acheni majungu. kuna gazeti limehukumiwa kumlipa sumaye million 100 kwa kuandika majungu dhidi yake.

    mwacheni sumaye apumzike. mambo mengi alikuwa akipakaziwa na wanamtandao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...