Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
haijalishi chakula umepataje, cha muhimu ni kupata mkate wa kila siku.
ReplyDeleteWaelezee hao Kipanya tena hasa wakimuona mama mjamzito humwagia matusi utafikiri kuzaa dhambi. Wenyewe waoga kama nini kuzaaa kwani anajua hatari za uzazi lakini cha kushangaza kwa wanawake wenzao huwabitulia midomo na matusi kama pindo la gunia. Yaani hilo neno mdomo kama pindo la dunia nimecheka kweli! Na wengine ni mahodari kufungua pesa za kina mama walio kwenye uchungu kwenye mapindo ya vitenge vyao wanajua wakati huo fahamu zote zimewatoka akishajifungua anakuta pindo la kitenge halina kitu pesa ishaenda!
ReplyDeletehivi mimi sielewi....manesi wa tanzania na marekani kwa nini tofauti ni kubwa sana. yaani hapa marekani ukiingia tu hospital inakuwa ooh honey how you feeling, darling we will take good care of you ok! bongo ni balaa! last year nimeenda bongo baada ya kula vumbi mara najisikia homa, nilivyofikiria wale manesi wa bongo nilibadilisha tiketi haraka sana. maana wangejua nakaa majuu ndo wangeninyanyasa! halafu muwe mnavaa gloves...it is very scary mtu anakupima bila hata ya kuvaa gloves!
ReplyDelete