jk akisikiliza maelezo ya huduma za kutuma pesa kwa njia ya simu ya mkono ya vodacom iitwayo m-pesa alipotembelea mabanda ya maonesho ya sullivan jioni hii hapa a-taun

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2008

    Sikulaumu maana hujui ila kimasoko na km mimi nimekudhamini haipendezi kushikia bango huduma za mpinzani wangu. We umekomalia voda mara mafurufuru mara mzungu wao mara miemPesa. Huenda wenyewe walokuzamin wanamind hujui tu. Ushauri lakin, ktk bizniz kubana km kawa. Ekspresi yuaseeee!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2008

    Sister, big up sana. Alex

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...