KAKA MICHU

Napenda kumweleza bwana Mdimu Charua Ngoma, kwamba huyo amtafutae kwangu Mimi ni Baba yangu mdogo,na anaishi POLAND.

Pili: huyu bwana AL Musoma naomba tuwasiliane maana ametoa comments ambazo ni za ndani sana, na lazima uwe ndugu wa familia/ukoo wetu ndio utakuwa na hizo info alizotoa, sasa inawezekana nae ni ndugu yangu kwa namna moja au nyingine, please tuwasiliane bwan Al Musoma

Mimi Niko Bongo Dar es salaam Na wenye majina haya ya EKONJO katika ukoo wetu ni MIMI na Huyo Wajina Mwezangu alieko POLAND
home sweet home ni Musoma - Bunda

my email:
ekonjo@yahoo.com au dr_ekonjo@hotmail.com


wako mdau

Dr Ekonjo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2008

    toa proof..i know michuzi utakasirika ila mi nina ogopa sana watu kutunga uongo au email and pretending to be somebody else..i have to ask are you sure!?!?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2008

    Naona huyu jamaa anasema kweli ingawa sina uhakika wa 100%. Akina Ekonjo Poland wapo wawili. Mmoja anaitwa Bwire yuko Warsaw na ni mchumi na mwingine ni Dr. Ekonjo yuko Wroclaw,Poland. Hivi hiyo anwani ya Dr ni yake mwenyewe Dr au lahh? Nina simu ya Bwire na hivyo ntamuambia aje asome huo ujumbe. Sijui ujumbe wa mwanzo ulihusu nini, ila nafikiri kuna njia nyingi sana za kujua nani anadanganya na nani anasema ukweli. Wee unayesema ni ndugu yao, niwaambie wewe ni nani? Kolega.

    ReplyDelete
  3. nita proof endapo tuwasiline kwa email yangu binafsi siwezi kuanika mambo ya kifamilia/ukoo hapa.
    Ninachokuhakikishia huyo Dr Ekonjo wa POLAND ni Baba yangu mdogo, na naweza kukwambia aliwahi kuugua ugonjwa gan, na liponyesshwa na dawa za mmasai aitwa dr mollel, miaka hiyo alikuwa anakaa kurasini, na kaka wa huyo dr ekonjo alikuwa Manager wa DDC farm, tuwasiliane kwa taarifa

    ekonjo@yahoo.com

    ReplyDelete
  4. Nashukuru kwa michango yenu, nimeshawasiliana na bwana mdimu ngoma ambae alikuwa anamtafuta dr ekonjo amaye ni baba yangu mdogo, ni hv sasa nimempatia info za kumpata dr ekonjo,mana kuna baba mwingine mdogo yuko london, na this month anaenda kuwasilimu huko, mimi ni david ekonjo bwire, poland wako baba wadogo wawili, doctor ni ekonjo bwire yuko warsaw na baba mdogo mwingine edwin ekonjo bwire sina hakika yuko mji gani, but amesomea issue za uchumi, na habari zaidi doctor ekonjo bwire ana mtoto ambae anaitwa david kama jina langu mimi la kwanza.so mtoto wake anatumia majina kama yangu, david ekonjo bwire.

    kolega ukimpata doctor ekonjo mwambie mimi mtoto wa kaka yake aitwae leonard mugeta joseph bhakome, kuhusu email ni yangu mimi dr wa huku bongo
    asanteni
    ekonjo@yahoo.com
    dr_ekonjo@hotmail.com

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 26, 2008

    okay nimekuamini!hongera sana,nakutumia email

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...