
mwanaglobu mashuhuri mroky mroky a.k.a father kidevu kaibuka na globu yenye muonekano mpya na anaahidi kuendeleza libeneke maradufu. mtengenezaji wa globu hiyo ni yule yule gwiji la mambo hayo MK Group. inafurahisha na kutia moyo kuona kwamba sio tu wadau wengi wanajitokeza na globu bali pia kuja na globu zilizo nzuri na mambo kedekede kwani uwanda ni mpana na wengine wanakaribishwa kujiunga nasi. mtembelee father kidevu kwa kubofya hapa


Huku sasa kuchanganyana,
ReplyDeleteNa ABDUL SALVADORY nae ni nani??
Kama vipi huyu jamaa atafute A.K.A nyingine.
NI HAYO TU!!!!
he is attractive
ReplyDeletemanka
wewe manka unataka kusutwa.ulizaga kwanza basi sawa?
ReplyDeleteAnonymous June 25,2008 7:49 PM
ReplyDeleteManka si lazima awe yule bali Manka kichaga ni binti wa pili kuzaliwa kwenye familia.