Jeneza lililo na mwili wa Marehemu Said Shamte,aliyepatwa na mauti baada ya kufukiwa na kifusi cha jengo lililoporomoka siku ya jumamosi ya wiki iliyopita katika mtaa wa Kisutu,amezikwa jioni katika makaburi ya kijijini kwao Rungungu,Rufiji , mkoani Pwani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2008

    mimi nasikitishwa sana na nchi zetu huyokatutoka tena gafra sasa
    yeye kama mwananchi wetu kampuni aliyokuwa anaitumikia inawajibika vipi??

    third part kwa kila raia anaepata ajali tena kazini ukizingatia kunawatu waliofanya uzembe ktk mjengo huo!!!

    naomba serikali iweke sheria hiyo kwani naamini kaacha watoto,wazazi na hata mke ambao walimtegemea yeye

    poleni sana ndugu wa marehemu wote kazi ya MUNGU haina makosa!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2008

    Sheria za kulinda third part zipo ila utekelezaji wake ndo shida. pamoja na kufiwa watu bado watataka wapewe kidogodogo.
    mbona waombolezaji wachache? ila poleni na mungu ailaze roho ya marehemu peponi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2008

    familia inatakiwa kulipwa fidia na mwenye jengo ama kupitia bima ama pesa yake hivi vyote vikishindikana serikali inawajibika kuilipa fidia familia kwa sababu ni wajibu wa serikali kuhakikisha taratibu zinafuatwa, kama vile watu waliouliwa na magaidi NEW YORK NA LONDON SERIKALI ILIWALIPA FIDIA WALIOFIWA NA KUJERUIWA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...