supamodo mstaafu miriam ikoa (chini, shoto) na trupu lake la kampuni ya nanihii waliwakilisha pia katika mkutano wa sullivan

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2008

    kumbe alihama vodacom ehh miaka inakimbia

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2008

    Kudadadeki!
    Umenikumbusha mbali sana kaka.
    Huyu dada Miriam nilikuwa namzimia sana enzi hizo yani nilitokea tu kumhusudu hata angeweka maji kwa kiatu chake akanambia ninywe ningekuwa radhi ati. vituko vyake na kujiamini kwake ndo kulinimaliza kabsaaaaa. Ajabu nilikuwa nimeshamsahau mpaka nimeona picha ndo nikamkumbuka. Sema tu nilikuwa mdogo vinginevyo ningetangaza ndoa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2008

    Hiyo Picha safi sana, Nicki you look good Brother

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2008

    Kuda dada deki michuzi picha zako za ukoo mbona mdogo wangu Mussa Mnasi yupo kwenye mkutano huo humtoi?. Nikirudi bongo utani koma

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 06, 2008

    Earl naona tabasamu kubwa sanaa,mjusi nae kakubali,lookin good bro(no hommo, real talk)
    Dave b/ham

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 06, 2008

    Shemeji nakuona bwana mambo ya sullivan

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 06, 2008

    Mmependeza though siwafahamu.Kumbe kwenye hao walosimama kuna mdada super natural beaty?NANI KAMWONA?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 06, 2008

    Uncle michuzi,nimekubali wewe mwalimu mzuri,matunda ya mikonooozzz yameanza kuonekana kwa wanafunzi wako.Imenichukua kama dakika 20 hivi kuona hiyo mikonoooozz kwenye snap!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 06, 2008

    Hahaah Earl mazee Keep Up Bro. Piga Usi Beep.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 06, 2008

    Nakuona Aunt E.your looking Good(H-Town-mtoto mzurix2 )

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 06, 2008

    Kuna mtu kamtaja Mussa Mnasi, je huyu Mussa alisoma primary Manundu Korogwe, alikua na dada zake kina Farida, Zena na wengine nimewasahau kama ndio pls kuna class mate wake hapa ningependa kumpa hi.Kama si Mussa huyo never mind then.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 07, 2008

    Emma Uriyo aks Mrs Omari Mandari..naona bongo imekukubali...kudadeki wallaah manshallah keep it up baby.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 07, 2008

    Class mate wake anaitwa nani?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 07, 2008

    just a simple question, hivi huyo kaka on the far right(mwisho kulia) anaitwa nani tena???

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 08, 2008

    Umempenda au? manake naona wamuulizia kwa msisitizo... I just wanna make sure b4 I reveal his name & contact

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 08, 2008

    actually i dnt know, he looks very nice/good! and yes its possibly nikampenda! so can you tell me his infoz!! thanx

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 08, 2008

    KAKA MICHUZI NIMEMZIMIA HUYO BRAZA MWEUPE,NAOMBA NAMBA YAKE PLIZZZ.
    KAKA USINIBANIE TAFADHALI,ANGALAU NIMEJUA YUKO CELTEL.

    HOUSTON,TEXAS

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 09, 2008

    Huyo ni Godfrey Kavishe na ameshaoa KOMENI!!!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 09, 2008

    sasa hasira za nini? kwani kuna kosa gani kuuliza jina la mtu?? koma wewe. nafikira zako potofu!!!!!

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 10, 2008

    Kumbe bado wadada wanazimia wanaume weupe, haya kaka God be careful watu wanataka contact na wako TX, makubwa hayo kaoa jama na contact ndio hazitoki tena, msiniulie wifi yangu kwa presha.teheeeee teheeeeeeee.
    Kuna wengine single in the family, let me know if u'r still interested.LOL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...