Habari wanabaraza!!!!
Natumaini wote ni wazima kiafya na kiuchumi.
Ningependa kuwatangazia kwamba kutakuwa na Get together party kwa ajili ya wana Oysterbay Primary Class of 1992 siku ya tarehe 27 June 2008.
Venue ni FINETRAVELLERS HOTEL,iko Sinza maeneo ya kumekucha, ni karibu na Kanisa la kilutheri Sinza na DSM Iternational School, ni mita kama 150 kutoka barabara ya Shekilango, ni mkono wa kulia kama unatokea Bamaga na Kushoto kama unatokea Urafiki/Ubungo.
Ni mategemeo yangu kuwa wanabaraza mtajitokeza na kuwa tutajumuika pamoja.
Pia wanasociety wanaruhusiwa kuja na wageni ambao kwa lolote lile watakuwa responsible nao, ""but i hope we have gug friends""Kuhusu Muda ni kuanzia saa kumi na mbili jioni na kuendelea.(6: 00PM) (18hrs)Wandugu tuhudhurie bila kukosa.
Aksanteni na kazi njema popote mlipo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Madam Chair Joan Mungereza
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Madam Chair Joan Mungereza
kwa 0713270157 au jmungereza@yahoo.com
AU
Mwenyekiti wa maandalizi
Mariango Msuya kwa 0784 241854 au mariangom@yahoo.com
AU
Mwenyekiti wa maandalizi
Mariango Msuya kwa 0784 241854 au mariangom@yahoo.com


huuu uubaguzi nimeuchoka sasa!fanya party kwa ajiri ya kila mtu,kwanini mnapick pick sana..sio tabia njema..
ReplyDeletehuuu uubaguzi nimeuchoka sasa!fanya party kwa ajiri ya kila mtu,kwanini mnapick pick sana..sio tabia njema..
ReplyDeleteSawa dada Joan, naona mambo yameiva! Anony juu, hawa wenzio wana jumuiya yao(waliomaliza pamoja 92) ya kufanya mambo pamoja. Pengine, baadae wakishakuwa imara watawaunganisha wote.
ReplyDeleteAsante