Home
Unlabelled
nanihii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Fulana ya kazi iko wapi? au haijakauka leo? Nanihii huyo anafanya kazi si mchezo. Ila kubwa akamate mafisadi. asiwaonee haya. wala soni. si kwamba anawaogopa bali anaweza kuwa anawaonea huruma. Tunamjua ana huruma sana huyo Nanihii. lakini kwa mafisadi aiweke pembeni. Kaza uzi JK.
ReplyDeletemh michuzi mjanaja kweli!
ReplyDeleteUmeacha kamera na ukaanza kutoa maelezo ili utokee kwenye picha. Sasa kazi ya wale warembo ni ipi?
Sawa bwana tumekubali!
Jamani, jamani, jamani Kaka J umevaa nini yarabi?
ReplyDeleteMichu - dooo jamaa unaji pendekeza kwa nanihii!!!! Embu mwangalieni usoni braza Michu. Alafu kaogopa mikonozzzz kaweka mfukoni - he he heeee heeee - Michuuuuu, umepatikana laivu mazee. Kisha JK kama hajapendezwa vile?? Msaada wadau....
ReplyDeleteish, subiri yeye aseme kwamba kavuitiwa siyo wewe umsemee. au tuambie kafanya nini baada ya kukutembelea ili kuthibitisha kauli yako! au?
ReplyDeleteyaaaaani leo ndo nimeamini bongo akili mkichwa uso kwa uso na bro wako na mmepanga trip ya nje hapohapo wenyewe tunaita juu kwaju
ReplyDeleteMhhh hapo sasa nilikuwa nasubiri mhh kuanzia sasa nitakutafutia jina lako maalum maana mpaka hapo tu nimekukubali sio mchezo kabisa mkuu misupu
ReplyDeleteMikonoooooooz wapi sasa??
ReplyDeletekwa mawazo yangu ya haraka haraka nasema kwamba michuzi ndio Raisi kwa kivazi au mnasemaje machizi?
ReplyDeleteMichu,
ReplyDeleteMbona hujapiga konozzzzz na nanihii..???
Nyie si maswahiba! Au ushosti umeisha?
kweli kwenye wajenzi hakuana miti..sasa Bro Michu badala ya kupiga picha nzuri ya mwaka ..wewe umebadilia cheo na kuwa muelekeza wageni!
ReplyDeleteKweli Bongo kumchwaaaa...
kazi kweli kweli!
Kaka Michu toa mikono mifukoni iyo..lkn umetoka kuliko JK..usipendeze sana utanyanganywa ukuu wa wilaya..Haya suti wapi iyo?
ReplyDeleteMIchuzi bwana! umeona nanihiii kaweka mikono mfukoni na wewe uka-copy na ku-paste bila ku-edit...
ReplyDeleteHaya kaka, no wonder ukipigwa konooozzzzz na wewe unajibu kwa konoozzzzzzzz... mambo ya jino kwa jino hayo!...
michuzi katoa macho huyo hatari
ReplyDeleteHalafu miaka hijayo usihitumie picha hii katika kampeni ya kugombea ukuu wa tageta
ReplyDeleteMH.MKUU WA WILAYA YA TEGETA KWANZA UNAONEKANA UNAHEMA NA INAELEKEA ULITOKA MBIO NA KUACHA MAMBO YOTE NA UKAWATIMUA WALE WADADA ILI UJE KUMUELEKEZA JK,LAKINI LA KUSIKITISHA SANA NI KITENDO CHA KUITOSA FULANAZZZZ,ILITAKIWA IWEPO HAPO.
ReplyDeleteMhh! Michu kwa kweli umeniabisha! Kuacha camera na kugeuka mtoa maelezo ghafla!! Hicho kivazi cha Nanihii siku hiyo kwa kweli mmhh! Washauri walikuwa wapi???
ReplyDeleteHAPO HAPO NDO PA KUOMBEA UKUU WA WILAYA, KWANI KUNA MSEMO UNASEMA MTU MMOJA ALIENDA KWA JIRANI KUOMBA SHOKA AKAKATIE KUNI, BADALA YA KUOMBA SHOKA AKAANZA MAZUNGUMZO MUDA SI MUDA JIRANI MWINGINE AKAJA YEYE MOJA KWA MOJA ALIOMBA SHOKA NA HUYU WA KWANZA AKAKURUPUKA HATA MIMI NILIJIA HILOHILO SHOKA AKAAMBIWA MBONA HUKUOMBA UMEKUJA UMEANZA MAONGEZI TU, SHOKA AKAPEWA WA PILI KUJA NA WA KWANZA KUOMBA, HIVYO MICHUZI UKUU WA WILAYA UNAOMBWA HAPO HAPO ISIJE AKAENDA BANDA LINGINE MTU BADALA YA KUMPA MAELEZO KWANZA AKAANZA KUOMBA UKUU WA WILAYA NA KUPEWA NA BAADAYE UKAJILAUMU HATA MIE NILIKUWA NAUTAKA UWOUWO LAKINI NILIONA HAYA KUOMBA.
ReplyDeleteJK HIZO NGUO ZINAMVUUTO WA AINA YAKE VIPI YAHE ULIKURUPUSHWA UVAE HARAKAHRAKA..
ReplyDelete