nanihii atembelea banda letu na kuvutiwa na alichokiona

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2008

    Fulana ya kazi iko wapi? au haijakauka leo? Nanihii huyo anafanya kazi si mchezo. Ila kubwa akamate mafisadi. asiwaonee haya. wala soni. si kwamba anawaogopa bali anaweza kuwa anawaonea huruma. Tunamjua ana huruma sana huyo Nanihii. lakini kwa mafisadi aiweke pembeni. Kaza uzi JK.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2008

    mh michuzi mjanaja kweli!

    Umeacha kamera na ukaanza kutoa maelezo ili utokee kwenye picha. Sasa kazi ya wale warembo ni ipi?

    Sawa bwana tumekubali!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2008

    Jamani, jamani, jamani Kaka J umevaa nini yarabi?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2008

    Michu - dooo jamaa unaji pendekeza kwa nanihii!!!! Embu mwangalieni usoni braza Michu. Alafu kaogopa mikonozzzz kaweka mfukoni - he he heeee heeee - Michuuuuu, umepatikana laivu mazee. Kisha JK kama hajapendezwa vile?? Msaada wadau....

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2008

    ish, subiri yeye aseme kwamba kavuitiwa siyo wewe umsemee. au tuambie kafanya nini baada ya kukutembelea ili kuthibitisha kauli yako! au?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2008

    yaaaaani leo ndo nimeamini bongo akili mkichwa uso kwa uso na bro wako na mmepanga trip ya nje hapohapo wenyewe tunaita juu kwaju

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2008

    Mhhh hapo sasa nilikuwa nasubiri mhh kuanzia sasa nitakutafutia jina lako maalum maana mpaka hapo tu nimekukubali sio mchezo kabisa mkuu misupu

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 05, 2008

    Mikonoooooooz wapi sasa??

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2008

    kwa mawazo yangu ya haraka haraka nasema kwamba michuzi ndio Raisi kwa kivazi au mnasemaje machizi?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 05, 2008

    Michu,
    Mbona hujapiga konozzzzz na nanihii..???

    Nyie si maswahiba! Au ushosti umeisha?

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 05, 2008

    kweli kwenye wajenzi hakuana miti..sasa Bro Michu badala ya kupiga picha nzuri ya mwaka ..wewe umebadilia cheo na kuwa muelekeza wageni!
    Kweli Bongo kumchwaaaa...
    kazi kweli kweli!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 06, 2008

    Kaka Michu toa mikono mifukoni iyo..lkn umetoka kuliko JK..usipendeze sana utanyanganywa ukuu wa wilaya..Haya suti wapi iyo?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 06, 2008

    MIchuzi bwana! umeona nanihiii kaweka mikono mfukoni na wewe uka-copy na ku-paste bila ku-edit...

    Haya kaka, no wonder ukipigwa konooozzzzz na wewe unajibu kwa konoozzzzzzzz... mambo ya jino kwa jino hayo!...

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 06, 2008

    michuzi katoa macho huyo hatari

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 06, 2008

    Halafu miaka hijayo usihitumie picha hii katika kampeni ya kugombea ukuu wa tageta

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 06, 2008

    MH.MKUU WA WILAYA YA TEGETA KWANZA UNAONEKANA UNAHEMA NA INAELEKEA ULITOKA MBIO NA KUACHA MAMBO YOTE NA UKAWATIMUA WALE WADADA ILI UJE KUMUELEKEZA JK,LAKINI LA KUSIKITISHA SANA NI KITENDO CHA KUITOSA FULANAZZZZ,ILITAKIWA IWEPO HAPO.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 06, 2008

    Mhh! Michu kwa kweli umeniabisha! Kuacha camera na kugeuka mtoa maelezo ghafla!! Hicho kivazi cha Nanihii siku hiyo kwa kweli mmhh! Washauri walikuwa wapi???

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 07, 2008

    HAPO HAPO NDO PA KUOMBEA UKUU WA WILAYA, KWANI KUNA MSEMO UNASEMA MTU MMOJA ALIENDA KWA JIRANI KUOMBA SHOKA AKAKATIE KUNI, BADALA YA KUOMBA SHOKA AKAANZA MAZUNGUMZO MUDA SI MUDA JIRANI MWINGINE AKAJA YEYE MOJA KWA MOJA ALIOMBA SHOKA NA HUYU WA KWANZA AKAKURUPUKA HATA MIMI NILIJIA HILOHILO SHOKA AKAAMBIWA MBONA HUKUOMBA UMEKUJA UMEANZA MAONGEZI TU, SHOKA AKAPEWA WA PILI KUJA NA WA KWANZA KUOMBA, HIVYO MICHUZI UKUU WA WILAYA UNAOMBWA HAPO HAPO ISIJE AKAENDA BANDA LINGINE MTU BADALA YA KUMPA MAELEZO KWANZA AKAANZA KUOMBA UKUU WA WILAYA NA KUPEWA NA BAADAYE UKAJILAUMU HATA MIE NILIKUWA NAUTAKA UWOUWO LAKINI NILIONA HAYA KUOMBA.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 10, 2008

    JK HIZO NGUO ZINAMVUUTO WA AINA YAKE VIPI YAHE ULIKURUPUSHWA UVAE HARAKAHRAKA..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...