GEMU LIMEANZA DAKIKA KAMA 40 ZILIZOPITA NA MATOKEO HADI SASA SI STARA WALA CAPE VERDE A.K.A PAPA WEUSI WALIOPATA BAO.
NA KWA TAARIFA ZA HUKO CAPE VERDE TAIFA STARS WANACHEZA JIHADI NA CAPE VERDE SI WEPESI KWANI UKIONDOA WACHEZAJI WATATU TU WENGINE WOTE WANACHEZA PROFESHNO KATIKA TIMU MBALIMBALI ULAYA.
TUTAENDELEA KUFAHAMISHANA MATOKEO KADRI YATAVYOTUFIKIA.
NAAM, HIVI SASA NI MAPUMZIKO NA MABAO BADO NI 0-0....
jamhuri ya cape verde ni nchi ya visiwa ambavyo viko magharibi ya bara la afrika kwenye bahari ya atlantik. Ilikuwa chini ya ukoloni wa ureno tangia karne ya 15 kabla ya kupata uhuru mwaka 1975. soma zaidi juu ya nchii hiyo kwa kubofya hapa


haroooooo michusi, hebu tusaidie kama kuna site inayoonyesha scoreline live.
ReplyDeletehadi sasa hivi, Cape Verde 1 stars 0. Mpira bado unaendelea.
ReplyDeletedakika ya 73 BABANCO aipatia cape verde goli matokeo hadi sasa ni sisi 0 cape verde 1.
ReplyDeleteMdau chiefommy Bougie Algeria
naomba kuwakilisha