NI DAKIKA YA 82 NA CAPE VERDE INAONGOZA DHIDI YA TAIFA STARS KWA BAO 1-0 LILILOFUNGWA NA MCHEZAJI ELVIS MACHIDO KATIKA DAKIKA YA 72 BAADA YA KROSI ILIYOMSHINDA IVO MAPUNDA NA MABEKI WAKE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2008

    Hapo lazima kelele za kumtaka Kaseja arejeshwe zitaibuka tena.
    Hivi Tinoco vipi, anaendeleaje na vijana wake? Labda huko tutampata Torres wa kibongo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2008

    Machido huyo anachezea OSASUNA kama sikosei.tu-concentrate hadi 2014.hakuna kurudi nyuma.Soka inachukua muda mrefu kuipandisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...