juu toka shoto ni katibu mkuu wa cefafa nicholaus musonye, bosi wa shirika la utangazaji (tbc), tido mhando, rais wa cecafa na tff leodegar chilla tenga, bosi wa masoko wa tbl, david minja na meneja wa kilaji cha kesto, 'kiongozi' mpeli nsekela. chini ni viongozi wa cecafa na tbl walioketi na nyuma yao ni viongozi wa tff pamoja na maofisa wa balozi za rwanda na kenya na bosi wa tbc. hii ni baada ya kutiwa saini mkataba wa udhamini wa shilingi milioni 80 za castle lager kwa kombe la kagame


hi blog hopping here form indonesia...you have nice blog...:D :D
ReplyDeletekubadilishana jezi kwenye mashindano ya CECAFA kunaruhusiwa? ni hayo tu!
ReplyDelete