baadhi ya wadau toka kila pembe wapo a-taun kwa mkutano wa sullivan

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2008

    Michuzi bwana, wewe kuna watu flani flani tu hivi ndio unapenda kuwapiga picha. Haya basi mi siwataji majina hao wa juu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2008

    kuna wengine washamba...tehetehe huyo anayejidai kuongea na simu huku anapiga simu...hehehehehehehe huo ushamba ulishapitwa na wakati.....au ndio kujifanya mtu wa network sanaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2008

    misupu sikuwezi naona wazee wanaotusaidia kutoa mizigo yetu bandarini nao hawajabaki nyuma safi sana
    Namuona hapo mzee F. mmbando haaa bro punguza kitambi kidogo naona kinakuja hichoo lakini mmependeza sana mpe hi Urio

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2008

    Namwona Mshikaji Daraja, waosha vinywa walikuwa wanaosha sana vinywa wakati yupo mitaa ya mzee kichaka. Naona Sefue amewanyamazisha waosha vinywa

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2008

    Jamaa kibao ktk mkutano huu, wengine wamekwenda holidai,tutawauliza wataifanyia nini TZ kwa kushiriki mkutano huu!!!!au wamepeleka mijisuti yao ya CHN huko!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2008

    Huyo Dogo anayeongea na simu huku anapiga picha tell him hizo tulizifanya enzi zile za Mobitel na Tritel. Katika nyakati hizi za "tigo" ukifanya hivi; waonekana umetokea Kiraracha au Kiborloni sasa ivi! Btw mmependeza!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2008

    sasa huyo kinje kaenda kufanaya nini....?lakini wabongo mmetoka bomba kama mastaa kwenye movie

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 05, 2008

    Wote washamba, bongo bwana wenyewe wanaona bonge la mtoko hapo eti. Mimi naona bora huyu wa kulia kabisa, lakini huyo mwenye simu mchovu big time.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2008

    jamani mmeshushua kibosile wa cocacola, maybe simu iliingia wkt picha inapigwa akaona aendelee tu kuongea nayo

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 06, 2008

    Jama wamem tenga bosi wa Brrrrrrrrrrrrrrrrrrr ivi ivi!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...