Home
Unlabelled
wadau kibao a-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi bwana, wewe kuna watu flani flani tu hivi ndio unapenda kuwapiga picha. Haya basi mi siwataji majina hao wa juu.
ReplyDeletekuna wengine washamba...tehetehe huyo anayejidai kuongea na simu huku anapiga simu...hehehehehehehe huo ushamba ulishapitwa na wakati.....au ndio kujifanya mtu wa network sanaaaaaaaa
ReplyDeletemisupu sikuwezi naona wazee wanaotusaidia kutoa mizigo yetu bandarini nao hawajabaki nyuma safi sana
ReplyDeleteNamuona hapo mzee F. mmbando haaa bro punguza kitambi kidogo naona kinakuja hichoo lakini mmependeza sana mpe hi Urio
Namwona Mshikaji Daraja, waosha vinywa walikuwa wanaosha sana vinywa wakati yupo mitaa ya mzee kichaka. Naona Sefue amewanyamazisha waosha vinywa
ReplyDeleteJamaa kibao ktk mkutano huu, wengine wamekwenda holidai,tutawauliza wataifanyia nini TZ kwa kushiriki mkutano huu!!!!au wamepeleka mijisuti yao ya CHN huko!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHuyo Dogo anayeongea na simu huku anapiga picha tell him hizo tulizifanya enzi zile za Mobitel na Tritel. Katika nyakati hizi za "tigo" ukifanya hivi; waonekana umetokea Kiraracha au Kiborloni sasa ivi! Btw mmependeza!!
ReplyDeletesasa huyo kinje kaenda kufanaya nini....?lakini wabongo mmetoka bomba kama mastaa kwenye movie
ReplyDeleteWote washamba, bongo bwana wenyewe wanaona bonge la mtoko hapo eti. Mimi naona bora huyu wa kulia kabisa, lakini huyo mwenye simu mchovu big time.
ReplyDeletejamani mmeshushua kibosile wa cocacola, maybe simu iliingia wkt picha inapigwa akaona aendelee tu kuongea nayo
ReplyDeleteJama wamem tenga bosi wa Brrrrrrrrrrrrrrrrrrr ivi ivi!!!!!
ReplyDelete