nimefurahi na kufarijika sana kukuta a-taun kuna wadau kibao. wamekuwa wakinitembelea na kunipa mawazo mapya kibao ya kuendeleza libeneke. asanteni sana wadau wa a-taun kwa kampani mnayonipa. nijisikia niko nyumbani mbali na nyumbani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2008

    Yaani we Mistew bado U mfupi na hapa tena how tall are U anyway??

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2008

    MICHUZI kwa kweli TUMECHOKA KUONA SURA YAKO MBAYA KWENYE KILA PICHA KWENYE HIII BLOG.
    We all know that this is your blog but please do something else to change the current features in the blog (Of course those with your faces) We have lots of things to put in the blog... we are tired with your ugly and scary face.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2008

    Very smart guys.Are they actually Tanzanians?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2008

    Mbona huyo mwenye bag anafanana na Chriss Ndusilo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 06, 2008

    Handsome men.
    From Australia

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 06, 2008

    Jamani huyo wa upande wa kushoto wa pili ni Andrew?
    Umekuwa baba.Hongera.
    Neema.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 06, 2008

    Bro Misupu badala ya kuendelea kurefuka unazidi kuwa mfupi cheki watoto wadogo wa miaka ya 84 na 85 walivyo warefu dah!!Picha ya chini wa pili kushoto kaka Kamtande unazidi kwenda mbinguni.SWAFI

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 07, 2008

    Kaka Kamtande maana yake nini?
    Mdau Mkereketwa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 07, 2008

    heee huyu siyo Andwer aliyemaliza ilboru duuu amekuwa big kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...