Jamani mwangalieni Amanda alivyochangamka na kuwa confident in swimsuit, watajiju!!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2008

    Huyu dada anaweza akatubeba tena, na hapo itabidi tujiulize kulikoni akina Hashim na Miss World hawaleti kitu? Muoneni tena kwenye vazi la jioni Miss Universe wetu.
    http://www.youtube.com/watch?v=kMi0oLC4WQI&feature=related

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2008

    Lakini nguo ya jioni jamaaaani....wallah tujitoleage kuokoa jahazi ...mbona inaonekana too damn cheap????? Mtoto wa watu mzuri lakini nguo inaonekana quality very poor...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...