rukia mtingwa akiwa na maofisa wa voda wenzie na wa miss tz
mkuu wa itifaki wa kamati ya miss tz albert makoye akijadiliana ratiba ya kambi na atakayekuwa 'kungwi' wa warembo huko hoteli ya paradise bagamoyo, nancy nkuhi
mamiss wakijiandaa kwenda kambini bagamoyo leo
warembo wakiwa kwenye chai
basi tayari kwa safari ya bagamoyo leo
waandaaji wa miss kinondoni wakiwa na ma-miss wao
hashim lundenga akiwa na meneja wa udhamini wa vodacom emillian rwejuna (mwenye suti), mkuu wa itifaki albert makoye (nyuma shoto) na maafisa masoko wa voda leo wakati wa kutangazwa kuanzkambi rasmi ya miss tz huko bagamoyo
mwandaaji wa miss tz anko hasim lundenga akisalimiana na baadhi ya hao warembo leo kabla hajawapeleka hoteli ya paradise huko bagamoyo kwa kambi ya wiki tatu
miss tz 2008 imepangwa kufanyika agosti 2 katika ukumbi ambao bado haujatangazwa. kwa mujibu wa meneja wa udhamini wa vodacom, emillian rwejuna, mshindi wa kwanza atapata gari na pamoja na shuilingi milioni nane na laki nane, wa pili atavuta milioni sita wakati wa tatu ataondoka na milioni tatu na laki nane, wa nne milioni mbili na laki saba na wa tano atakunywa milioni mbili na laki mbili.


Huyu jamaa anawafaidi kinoma
ReplyDeleteUncle lazima utalipa kwa MWENYEZI MUNGU kwa haya uyafanyayo kwa hawa mabinti
ReplyDeleteYaani G8 sasa hivi wanagonga Champagne cheers............!!!!
ReplyDeleteBidding war will start soon in BwagaHeart
Pamoja na "warembo miss vodacom tz 2008 waingia kambini leo", hapa kuna ufupi wa habari ambazo mara nyingine haziandikwi au huchelewa kutangazwa nyumbani:
ReplyDeleteWhite House - President Bush to Welcome President Jakaya Kikwete of the United Republic of Tanzania
STATEMENT BY THE PRESS SECRETARY
The President will welcome President Jakaya Kikwete of the United Republic of Tanzania to the White House on August 29, 2008, for a meeting and lunch. The visit will provide an opportunity for the President to discuss with President Kikwete the great progress being made in the fight against HIV/AIDS and Malaria in Tanzania. The President will use the opportunity to reiterate the United States' continued commitment to social, economic, and democratic progress in Tanzania. The two leaders will also discuss African regional issues, specifically the crisis in Zimbabwe, and Darfur…
===================================
KYOCERA Donates Solar Power Generating Systems to Primary Schools in Tanzania
KYOTO, Japan — Kyocera Corporation - Tuesday, Jul. 08, 2008 (NYSE:KYO) (TOKYO: 6971) (ISIN: JP3249600002)
President Makoto Kawamura of Kyocera Corporation has decided to donate solar power generating systems to primary schools in the United Republic of Tanzania. Commemorating the contribution officially, Kazuo Inamori, the Kyocera Chairman Emeritus, today presented a donation certificate to His Excellency Mr. Jakaya Mrisho Kikwete, the President of the United Republic of Tanzania and Chairman of the African Union, who is currently in Japan attending the outreach sessions for the 2008 G8 Hokkaido Toyako Summit…
===================================
Salt Lake City, Utah
Breast cancer experts bringing aid to Tanzania. They'll help set up breast-care clinic to screen, treat women Dr. Brett Parkinson, a radiologist who is imaging director of IMC's breast care services, and Dianne Kane, nursing director for oncology services, are heading to the African nation late this week to establish Tanzania's first clinic to screen and treat women for breast cancer…
===================================
Habari za madini yetu:
Lake Victoria Mining Company Acquires Kalemela Gold Project, Lake Victoria Greenstone Belt, Tanzania
Tuesday July 8, 10:00 am ET
GOLDEN, COLORADO--(MARKET WIRE)--Jul 8, 2008 -- Dr. Roger A. Newell M.Sc., Ph.D., the newly appointed President and CEO of Lake Victoria Mining Company, Inc. (OTC BB:LVCA.OB - News) is pleased to announce the company is acquiring an 80% interest in the Kalemela Gold Project in northern Tanzania…
Hawa mamiss wa mwaka huu wabaya sana jamani! Lol
ReplyDeletedah huyo Miss Kinondoni ni mzuri sio siri. Nimemzimikia.
ReplyDeleteNa kuna huyo kwenye picha ya kwanza juu; yupo mbele kushoto, ana open toes nyeupe, kajishika kichwani hivi. Naye analipa.
Tatizo lao wote wawili wamezidiwa zidiwa urefu na washindani wengine ambao hata sio wazuri.
Ila sio siri, Miss Kinondoni itabidi nimvizie; ila tu kama asiposhinda Miss Tz. Maana akishinda ujue Lundenga ashaharibu
Hapo tayari inaonekana kabisa kwamba mshindi anayeandaliwa kuchukua taji ni miss kinondoni. maana hata katiak mpangilio wa kupiga picha yeye wamemuweka mbele kabisa. hii michuano inakua tayari imeshapangwa.
ReplyDeleteto born again pagan,
ReplyDeleteI respect the point you are trying to make, and it is important habari kama hizo zinazohusu nchi ziwafikie wananchi.
Lakini ukumbuke kuwa hiki sio chombo cha habari, ni tovuti binafsi ya Bw. Michuzi; yeye anao uhuru wa kuamua habari gani aiweke hapa. Hata vyombo vya habari rasmi vinaweza kuamua kuchukua mkondo fulani wa habari. Mfano, kama ni sports network, huwezi kuanza kuwalalamikia kwanini hawaweki habari za kisiasa na kijamii. Wao wameamua kujizatiti katika ulimwengu wa michezo na wanao uhuru wa kufanya hivyo.
Likewise, Michuzi ameamua blog yake iweke habari za aina fulani, ni uhuru wake. Ukione coverage haikuridhishi, unakaribishwa kuanzisha blog yako binafsi na uweke habari unazoona ni muafaka.
Isitoshe, zipo blog nyingine nyingi za watanzania, pamoja na tovuti za local media zinazoconcentrate katika aina ya habari unazozitaka wewe.
Moreover, kusema kwamba Michu haweki kabisa habari zinazohusu siasa, uchumi na jamii sio kweli; kwasababu mara kwa mara anaweka habari hizo hapa. Na kwa sisi tulio nje, hiki ni kianzio cha habari za nyumbani. I usually come her, get entertained na at the same time napata breaking nyyuuuzzzz toka nyumbani. Since Michuzi ana independent blog na sio ya gazeti fulani, huwa hahitaji kusubiri mpaka habari ipite kwa editor then publisher kabla haijaweka hapa. Mfano mmojawapo tu, ni hiyo ya Bush kumkaribisha Kikwete US walipokutana Japan. Angalia archives za Michuzi utakuta kwamba hiyo habari aliiweka hapa, contrary to your claim.
Zaidi ya hapo, utatambua kuwa mara kwa mara Michu huwa anabandika habari na taarifa muhimu anazotumiwa na wadau wa blog hii. Kwahiyo kama unahabari unayona inafaa kushare na wadau wenzio; sio mbaya ukamtumia Michuzi habari hiyo, I am sure ataiweka.
Surely Michuzi can not keep top of every current issue and news item in the world. Ana day job yake kama mpiga picha mkuu wa TSN; pia ana Photopoint na misele yake kadhaa oembeni ya kujiwezesha kidogo. Zaidi ya hayo yote unategemea ataweza kubandika kila kitu hapa. Msaidie kama wengine wafanyavyo. Tuma habari na links zake kama inawezekana na ataziweka hapa.
Unajua Kipepe, I was thinking the same thing. Lakini kama itakuwa rigged ashinde huyu Fay; I will have no complaint. Mtoto katulia bwana, au unasemaje?
ReplyDeleteUNCLE HASHIM KASHACHAGUA WAKE MAPEMA,BADO ILE GROUP YA VITAMBI INAYOSHINDA PALE ROSE GARDEN!!
ReplyDeleteR,M,P,B,M,P M,K,M P,A,M,I M,C K,C M,L M,I S.......MALIZIA!
kwanza tupambe alafu tusherekeee!!!G8 mpoo?
ReplyDeletemiss temeke ndo ana mvuto,the rest's waste of time
ReplyDeleteMheshimiwa Nanihii wa Tegeta,
ReplyDeleteNaomba unisaidie kidogo. I am trying to figure out wako juu ya jengo gani ktk picha ya 1, 2 na 4. I can see hawako katika ground level na naona Mkapa Pension Towers in the background. Wako PPF Towers au? Cause Voda wako hapo, it's the only building I can think of. Ila I would imagine kungekuwa na a few more buildings between the two buildings blocking the view
ELIHURUMA NGOWI KWA AJILI YA KIHEREHERE CHAKO NILIJUA TU ONE DAY UTAPIGA BAO BONGO HAPO.BIG UUUUUUP UWC
ReplyDeleteMzee wa vichupi, unawavua chupi kweli. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi.
ReplyDeleteRukia Mtingwa, mambo? you still looking good.Mimi ni mwana Nganza mwenzio nilikuwa form six wewe form five. Habari ya voda? Im in New York,nicheki tabunot@yahoo.com tuwasiliane.
ReplyDeleteG.
hakuna kokoro wala nini,mshindi ashajulikana,anaitwa MUMTAZ PRATAPSINGH MOHANLAL KEMCHOBAI,yeye ndo mshindi wa Miss Tanzania Bombay 2008,anatua Bongo kesho kujiunga na kambi!Bwana Lundenga mi nakupenda kwa hilo,huna ubaguzi mwaya.
ReplyDeleteKwani kinondoni ndio kuna wazuri peke yake?mbona haka kabinti kakinyakyusa kana mvuto sana,anaweza kutufikisha miss world top 5 ebu mungu nyoosha mkono wako kwake.kila la kheri tusekile.
ReplyDeleteUNCLE HASHIM MWAKA HUU IMEKUWAJE BWANA WEWE MBONA MDOSI AKUNA KAMA MWAKA JANA??? KULIKONI UNCLE SIO MAMBO HAYO SISI TLITAKA MDOSI AWEPO
ReplyDelete