Kutokana na show ya oldskool Columbus Ohio kutumbuka nyongo kutokana muziki kukatikakatika kutokana na umeme kuzidiwa na ukubwa wa vyombo.
Dj Boni Luv akizungumuza na globu hii ya jamii,amesema amevunja lile onyesho lililokua lifanyike Denmark jumamosi hii july 12,badala yake atawamalizia kiu washabiki wake wa Marekani kwa kuwafanyia onyesho kali jumamosi hii litakalofanyikia Washington Dc.
Yeye mwenyewe ameliita ONYESHO LA SHUKRANI kwa ukaribisho wa moto, upendo na mshikamano aliopata kutoka kwa washabiki hapa Marekani.
"kwa hiyo basi braza michu, Denmark sasa sitakwenda.
"washabiki wangu Washington Dc na vitongoji nyake karibuni klabu Safari Dc,4306 Georgia Av Nw,Washington Dc 20011 jumamosi july 12" alisema kwa njia ya simu akiwa njiani akitokea columbus kwenda DC


Boni usisahau kunitwangia kile kibao cha Joyce Sims - Come into my life
ReplyDelete"Come into my life, I got so much love to show you.Come into my life, boy I adore you"
Duh, nilijaribu kweli kupata japo dakika chache za kupiga stori na wewe kule ohio lakini mtu wangu ulikuwa taiti kiaina. Tutaonana basi DC
Kato
Safari Club ni padogo sana na huo ukumbi ni mbovu na hauna uwezo wa kubeba zaidi ya watu mia moja na zaidi watakao kuja.Tafuteni ukumbi mwingine wa kutosha.
ReplyDeletei dont know man.....damage imeshafanyika....kwanza kule OH party ilikuwa sehemu ghetto, hamna hata A/C alafu huo ukumbi ndio usiseme....kama chumba cha wageni - na huo mziki dont get me started. some other time man..PEACE!!
ReplyDeleteBoni mie usisahau special request "inde monie" ya kanda bongoman.....thats all i am asking for....ciaoh!
ReplyDeleteWhen I saw the ad I was wow this is a must attend event! Lakini ni wapi? Safari...Are you kidding me? When there are is just regular discos Safari is small and there is no ventilation...
ReplyDeleteDisco lover
Hey Guys…. Let’s leave Bonny Luv out of Ohio mess. DJ Bonny has nothing to do with the failure of the Ohio party. The only thing he did was just to board that plane from Tanzania to come entertain us -- and he did. Unfortunately, the organizers from the Ohio party couldn’t provide him with tools for him to deliver.
ReplyDeleteBonny Luv has always been the best, he is the best and he’ll always continue to be the best. We’re not gonna let the Ohio party jeopardize Dj Bonny’s credibility.
Asante sana Bonny for giving us a second chance to get the “ENTERTAINMENT” from you down at Safari, DC.
Hivi jamani nyie organizers wa hii shughuli, mmealika watu OH wamesafiri kutoka all over na wanalalamika eneo lilikuwa baya without AC. Badala ya kujirekebisha na kutafuta eneo better mnatangaza tena Safari....??
ReplyDeleteYaani hawa watu bado wanataka kuibia watu tena pesa kwa kuandaa Party nyingine Safari? Yaani juzi hapa mmeharibu kule Columbus na leo mnataka kufanya Party nyingine muwafisadi tena watu na Pesa zao. Nyinyi waandaji ni Mafisadi wakubwa wa pesa za Watanzania. Mimi siendi huko Safari hata kwa nini sitaki kuwatajirisha MAFISADI wa KUANDAA PARTY.
ReplyDeleteWEE BONI LUV UNAJUA BIASHARA AU UNATEMBEA TU ILI MRADI MAHALI FULANI MAREKANI KUNA WASHIKAJI ZANGU? FANYA BIASHARA WEWE NJOO HOUSTON.
ReplyDeletenyie waandaaji kweli old skool...mtachukuaje ukumbi wa SAFARI nyie, mmechemsha Ohio bado mnataka kuchemsha na hapa DC Metropolitan(Virginia,Maryland,DC)Bado kuna watu wa PA,NC,DE wanataka kuja.wakenya wenye club pia watataka kuhudhuria.
ReplyDeleteBinti DC
Jamani wadau tuache mambo ya kibangu sio sababu sisi tumetoka third world basi tuwe treated third class choo kimoja kwa wanawake na kimoja kwa wanaume kweli wewe Dj Luka does that make any sence na wewe Fanuel do you think sisi tumetoka madongo kuinama mnatuwekea feni na kutuuzia ticket za kununua vinywaji from the west side and a drinks are on the north side pakupita hakuna sisi sio nguruwe tumegharamia this event .Uwanjani mmetangaza mpira wenyewe hamkuonekana what a lie How do you allow your names to be attached to such a poor ,uneducated and uncivilized, unplanned event is that what you guys stand for? Fannuel! i thought a little better of you but I am so disappointed what were you thinking ?if you guys wanna get were Joseph Kussaga is you have to build a name and reputation so that we have faith in you but you just think of a quick cash for now ,think far MEN, TO MAKE MONEY, YOU USE MONEY, HALLOW na huyo Boni mkamtia hasira bure cause you guys are so cheap .Bonny my broder go to Zanzibar Water front na utufanyie old school tutakuja safari is not even a place for us to come. You are the Dj of all times don't let these cheap fellows use your name and give you peanut we got you, About Ohio Iam going to forgive yah cause i saw your pain and trust me it is not your fault just don't settle for less you make the demands and test the equipment and the condition of the place before you settle for it. We are not ghetto people so why you wanna do the show in the ghetto we too classy for that unless you wanna perform for SHAKWANDA AND GEROM. I CAN SEE IF WE Tanzania's got to run this country today we will make it a third world in a min no order, no standard, nothing,NADA we got to wake up and start treating each other with a little more respect.
ReplyDeleteJamani msiwe washamba wa kuelewa jamaa jamaa wamemleta DJ BONNY sasa wanamtafutia nauli ili arudi bongo baada ya kuchemsha kule Columbus, Ohio. Hivyo jamani fanyeni hima mkakanyagane safari club.
ReplyDeleteHi Boni, how you doing man? Listen, ask these guys to get you a bigger and better place than safari. dont let them fuc* this for you. Safari is like so small and old. We wanna come have fun with the music you play, but if you gonna do it at safari then im sorry man, i better stay at home with a glass of mimosa and listen to the radio.
ReplyDeleteSomeone has said you go to Houston, i think you shud consider it. There are way to many tz peeps and im sure you gonna hv a full house there. make it happen. (that reminds me mariah carey's make it happen track, you used to kung'uta it kinoma)
well, iv had my say, i won't say anymore.
Boni mapenzi vipi, jamaa kina Luka na Peter wamekulipa pesa za kazi walokuitia? Hata kama walichemsha, mshiko wako uko pale pale mshkaji. Angalia usipigwe changa la macho kama sisi tuliokuja olddskul p hakuna cha maana tukaibiwa pesa zetu tu. Utajikuta unarudi bongo bila zawadi ya waifu wako ohoo. Au hamdaiani ulifanya kazi yao kishkaji? Hilo nalo lipo, najua Peter mshkaji wako wa loooong time.
ReplyDeleteWATANZANIA BWANA......ETI WANATAKA VENUE BOMBA..WANAFIKIRI WATU WAMEMAKE HELA SANA NA NDIO MAANA JAZBA NYINGI...HA HA HA BUT THEY WANT TO PAY $10 KIINGILIO..MPAKA TUWE KAMA WENZETU WANAOWEZA KULIPA $40-$50 YOU WILL NEVER GET STAREHE ZA JUU...ANGALIENI LONDON, BONGO WATU WANAGARAMIA STAREHE SISI MAREKANI KAZI KUPIGA KELELE TU...COZ TUNA UWEZO MDOGO WA KUFIKIRIA...ANY BODY KAMA AMEENDA SHULE NEEDS TO LOOK AT NUMBERS KWANI MSEMAKWELI NI NAMBAZ TUU....
ReplyDeleteKWA SISI TULIOKUWA NA UPEO MREFU TUMEELEWA KWANINI WAANDAAJI WALIIPELEKA PARTY HUKO....
ANGALIA HII BREAKDOWN AND YOU DON'T NEED TO BE A ROCKET SCIENTIST TO FIGURE THIS OUT:
Nauli bONNY from bongo $1600
Polisi Ulinzi @ $30 per hour for 8hrs for 3 OFFICERS $720
Sound System $500
Bartenders @ $15 per hour for 8 hrs for 2 BARTENDERS $240
Say DJ Bony get $1000 per night
Hotel Accomodation for 3 Nights $300
Food/Miscelleneous $200
Rental Vehicle ya kumtoa Bonny DC say $300
Gas for travel to and fro Ohio say $200
AND ON AND ON....MPAKA HAPO KWA HESABU YA HARAKA HARAKA TUMEFIKA DOLA NGAPI???? $5060 JE KAMA KILA MTU ANALIPA $10 HAO NI WATU 506!!!!!!!!!!!
How much should the Venue be???????? HOW MANY PEOPLE UNAFIKIRI WALIKUWEPO???? I GUARANTEE NAMBA YA WATU HAIKUZI SANA 500 HIVYO BASI BEFORE KUSEMA MANENO MENGI WATANZANIA THINK FIRST... ACHANI UVIVU WA KUFIKIRI NA KUMBUKENI KUWA UKITAKA VITU VIZURI NI SHARTI UINGIE GARAMA....MIMI NATAKA KUWAPA POLE WAANDAAJI KWANI WALIJITAIDI KUWAKUTANISHA WATU LAKINI MUZUKI ULILETA HIZO...
WENU MDAU MWENYE KUFIKIRI..
HEY BONNY THE LOVER !
ReplyDeleteHIVI BADO HAO WANAKUNGA'NGANIA TU MTSHS!! ! HEBU RUDI NYUMBANI HARAKA WANAWEZA WAKAKUFANYA MRADI HAO NA TULIVYO NA ROHOO YA KITANZANIA! UTAKUA UNATUMIKA TU
HEBU RUDI MY DEAR BRO NI MI MDADA WAKO WA MIKO CHENI B JIRAN. RUDI UTURUSHE NA MAVITU YA BLUE PALM ACHANA NAO HAO
MARA SAFARI PADOGO MARA GARAGE HAPANA CHOO ( ULAYA NAKO KUNA MATATAIZO SIKUJUA NA SIJI NGO NYUMBANI PATAMU BWANA)
KWELI HAWAJUI STAREHE! SISI TULIKUWA TUNAJIRUSHA UANI KWA MZUNGU( BLUE PALM) NA WALA HATUKULALAMIKA
HAO SI WADANSAJI ACHANA NAO RUDI HOME FASTER . WAKITAKA UTAMU WA NGOMA WATAFUATA TU TOKA BUNGURUNI KWA MALAPA MPAKA KIGOGO MWISHO BILA KUJUA WAMEFIKAJE NYAMBAFU HAO
Anonymous wa July 09, 2008 3:09 PM:
ReplyDeleteWell said!
Wakisikia huku bongo tunalipa tshs. 50,000 or more kwa show wanatusema sana ati tunapenda starehe, wanasahau gharama ya maisha na vitu vingine!
$10 kwa exchange rate ya leo ni sawa na tshs 11,470/= elfu kumi na moja mia nne sabini!!! Akili kichwani
Wewe Mdau wa juu hapo uliyeweka hiyo breakdown inaonekana ni mmoja wa mafisadi waliowaibia watu kule Columbus kwa ku-promote ile Party mbaya kupita zote. Hawa watu wametengeneza pesa nyingi sana kwenye pombe na kiingilio, matumizi yao yalikuwa madogo sana kwa kutupeleka kwenye Warehouse chafu ambayo iko located Ghetto. Nyinyi ni MAFISADI tu hata mjitetee vipi.
ReplyDeleteJamani acheni lawama wenyewe wamashajua makosa yao na wameomba msamaha. Hivyo muomba msamaha husamehewa, lakini wamejifunza kutokana na upumbavu au wizi walioufanya.
ReplyDelete