matokeo mechi ya kwanza 2 -2 watoto kiwango chao kilikua kizuri ila tatizo size na nguvu hawana mechi ya pili ndio ilikua kazi walikutana na kipigo cha zaidi ya mabao 7 hata nilipoteza mahesabu na wao walishinda 1 mechi ya tatu sikuwepo ila nimesoma kwenye web yao wameshinda 5 - 1 na kesho wanamechi zingine mbili
Home
Unlabelled
fc vito ya nanyumbu ikituwakilisha norway leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


hongereni wanetu!kwa kweli ni wa kupongezwa kwani kutoka mtwara hadi finland na umri huo ukizingatia na mazingira ya huko mimi binafsi nawapongeza sana!
ReplyDeletehembu angalia picha ya kwanza inaonyesha walikuwa na woga flani wamejikunyata au baridi nadhani wakizoea watafika mbali.
hongereni watoto !itangazeni bendera yetu .
Hongera sana kwa wachezaji na timu nzima. Hasa hao walioweza kuandaa safari hii. Vijana watakuwa wamepata uzoefu hapo japo kidogo.
ReplyDeleteKuna vijana wengine wapo Reading wanajiita TYSCO wana moyo kama huu wa kukuza vipaji vya watoto wetu Tanzania. Hebu watafuteni mshirikiane huenda huko mbeleni safari kama hii ikaunganishwa na mechi nyingine hapa UK na kwingineko.
Mdau UK
I hope walionywa kabisaaa wathithubutu KUBADILISHANA JERSEY... Wapi CANAVARHO...
ReplyDeletemmmh vitoto vya kwetu viandunje kidogo.sijui mlo sio wa kutosha?,kama umri unaendana na hao wa finland unaona tofauti kati ya watoto wetu na watoto wa finland
ReplyDeleteHaya mashindano yanafanyika Finland au Norway? Ninavyojua mimi hayo mashindano yanafanyika Finland. Kuna mashindano kama hayo yanaitwa Norway Cup yanafanyika mwishoni mwa Julai
ReplyDeletehivyo vitoto vyetu ona vinavyotia huruma hapo juu wakaviacha vinakumutwa na baridiiii!!
ReplyDeleteHongereni watoto wetu!
ReplyDeleteWatoto wa kwetu andunje sababu ya msosi. Hao wa kizungu wanatia msosi wa afya kuanzia wakiwa wadogo kabisa, hao wa kwetu mlo mara tatu tu kwa siku hakuna snacks wala nini zaidi ya uji chips dume.
ReplyDeleteFC Vito wanaonekana ni wadogo kiumbo ukilinganisha na hao wa ufini.
ReplyDeletekwanza kabisa napenda kuwapongeza hao FC Vito kwa jinsi walivyotuwakilisha.
ReplyDeleteKuhusu matokeo mi sioni jambo la kushangaza au kuwalaumu watoto.
Mara ngapi timu kubwa zipagwa hadi 12(rejea mechi moja ilifanyika kirumba mwanza miaka ya tisini).
Kwanza watoto wetu unaweza kukuta walipofika tu hata hizo jezi ndio mara ya kwanza kuvaa,Uwanja labda nyasi bandia ndio mara ya kwanza kuchezea.
Kucheza na "wazungu" ambao hata baadhi ya viongozi wetu bado wanawaogopa ndio maana wanasign mikataba mibovu.
Kingine "ulaya" mazingira mageni na kabaridi kaufini hakaeleweki.
Mwisho mbana hata BONGO FC na kuishi miaka yote Ufini walichapwa na wababe wao Tampere hamkusema?
Mwisho hata mtuma habari mwenyewe ingawa anaonekana kuwa na side bado anatuchanganyia maelezo..mara Norway wakati mtanange ulikuwa ufini.Sasa kama mtuma habari tu kachanganyikiwa na ukubwa wake ..itakuwaje kuhusu madogo
Hongera waandaaji na timu zima ya Fc ..BIG UP kamanda Dj Ezza naona unawapa mawaidha watoto wetu.
Naamini tutafika tu
We Edwin naye wacha kuropoka! Kwani Bongo FC inahusiana nini na hii habari? Mara ngapi hao tampere wameshatandikwa na FC bongo. Kuishi miaka mingi ufini ndo nini kwani? Unatia kichefu chefu. Hii ni kujenga chuki! Fikiria kabla ujachora chora hayo madude yako.
ReplyDeleteNategemea Michuzi utakuwa wa kwanza kuwapokea hawa watoto wakirudi huko nyumbani ili kuonyesha mshikamano na upendo kwao kutoka kwa blog hii ya Jamii,maana sijaona hata Gazeti moja la nyumbani liliandika au kuandika kuhusu Safari yao hata maendeleo ya mchezo wao wakiwa nje ya nchi!Muhimu tuzijali timu zote sio Taifa Stas tu.
ReplyDelete