"East Africa Summer nite!"
Ile 'party' inayosubiriwa kwa hamu na
East Africans waishio Houston Tx is around
Tha corner, bila kusahau Mr. East African
In H-town(handsome) atatafutwa siku hiyo,
na pia 'couple'ambayo itapendeza zaidi
watajipatia zawadi nono (surprise)
Date: 25th July
Venue: Brenda hall
3720 Westpark n' Gesner
(Behind Valero gas station)
Time: 9pm til dawn
Cover: $ 10 Gents, $5 Ladies
($ 3 u call it a drink!)
tha hottest dj in town dj kaycee gon make it happen!
Pia kwa wale ma'handsome' ambao wangependa Kushiriki katika 'Mr E.A Houston' wanaombwa Ku'register' through 281 236 5204 ( dj kaycee)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...