
EAST AFRICAN SUMMER NITE!
HOUSTON TX!
Wadau Houston, zimebaki siku chache kufikia julai 25, na ile party kubwa kabisa ya wana East Afrika waishio HOUSTON TX Ndio hiyo tena inawadia.
Bila kusahau East African 'Handsome' of Houston nae pia atapatikana Usiku huo huo. hivyo ni kukosa ni kujinyima uhondo
Pia ile 'couple' ambayo itatoka bomba zaidi watajishindia zawadi nono kabisa ambayo itatangazwa hapo ukumbini.
Kama kawaida dj kaycee
ataendeleza burudani hiyo kwa upande mzima wa 1 n' 2.
vijana wa miaka iliyopita kidogomnaombwa kuhudhuria kwa wingi kwani kuna mitwango mahsusi kwa ajili yenu.
Bila kusahau hili BBQ
Its All nite LOOOOOONG!


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...